Recent content by Tate Usoto

  1. Tate Usoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ingekuwa wewe ungechukua maamuzi gani? ilihali bado anadai anakupenda na anakuhitaji

    word bro,ukubwa dawa umeongea through experience kuretain status ya kiume kuna gharama zake. Ila lazima jamaa abadilike kama hataweza kuwa na msimamo ataendeshwa maisha yake yote. wanawake hawabadiliki wanabadilishwa.
  2. Tate Usoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanaume anavyonisaliti vibaya

    nimecheka sana,viroba viko kwa head hapo!!!
  3. Tate Usoto

    JamiiForums Tanzania Wajapani hawana pakukaa wataenda Wapi?

    waache waje,tushachoka kuona barabara za ghorofa kwenye tv.
  4. Tate Usoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpaka iondolewe ndio wanatulia

    Imekua too much!!!
  5. Tate Usoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipo kwenye wakati mgumu kwenye mapenzi

    kumbe we adam? angalieni avatar zakuweka aisee!!
  6. Tate Usoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imeniuma sana hii kitu

    Mbona hata sisi tunadanganya? hapo jamaa anaumizwa na past ambayo kama hutaiacha iende zake u can never be happy in relationship.
  7. Tate Usoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukitaka kuoa Sinza, Magomeni na Kinondoni sio sehemu nzuri za kuchagua mchumba

    ndo unamaanisha madame b ni std 7?
  8. Tate Usoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho toka kwa bibi

    dah huyu kiumbe ni tatizo kuliko njaa!!!!!
  9. Tate Usoto

    JamiiForums Tanzania Marekani ina kibarua kigumu Syria

    twi twi twi your contradiction yourself hii lugha mi siipendagi,niliwahigi kujing'ata ulimi.
  10. Tate Usoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu, uongo ambao wanawake wanatudanganya huu hapa

    haki ya mungu kazi ipo!!!
  11. Tate Usoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake hawaogopi kabisa UKIMWI?

    nimepata picha
  12. Tate Usoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jina hili si sahihi kumwita mpenzi wako

    Heshima ya jama yako huwezi kumpa mkeo kijana utalaanika mke atabaki kuwa mke na mama atabaki kuwa mama
  13. Tate Usoto

    JamiiForums Tanzania Maskini Gadafi, kumbe hiki ndio kilicho Muondoa na Kuhakikisha anauliwa haraka haraka

    Point!!! if u can free up ur mind unaweza kujua ni mchezo wa wenye nguvu kwa interest zao wenyewe. Hata kidogo hatuwezi kujua kitu kama tukiwa nyuma ya imani zetu. Gadaffi amefanya yake ya kutosha kwa nchi yake,tumuombe mungu tupate kiongozi mwenye uzalendo atakaeifanya tz nch ya maziwa, sio...
  14. Tate Usoto

    JamiiForums Tanzania Maskini Gadafi, kumbe hiki ndio kilicho Muondoa na Kuhakikisha anauliwa haraka haraka

    Now its tupambane na umaskini,ujinga,maradhi na udini!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Fungu la kukosa sie in the middle of poverty bado tunaangaliana kwa ukristo na uislamu?
  15. Tate Usoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siwezi kuoa kwa hali hii

    ukiwa na hayo mawazo utakufa na ngoma!!
Back
Top Bottom