Imeniuma sana hii kitu

Imeniuma sana hii kitu

Huyo hakufai hata yako anaweza kuchoropoa pia au pengine ameshachoropoa

Mbona hata sisi tunadanganya? hapo jamaa anaumizwa na past ambayo kama hutaiacha iende zake u can never be happy in relationship.
 
Kama kafanya abotion ndo azai tene, endelea naye tu sio tatizo wew umetoa wangapi?
 
Kuna msichana nimekuwa nae kwenye mahusiano kwa mda wa mwaka moja sasa, kuna jamaa wake wa kipindi cha nyuma ambaye walikua naye kwenye mahusiano ana mdogo wake tunafanya nae kazi ofsi moja sasa siku moja katika kupiga story na yule jamaa yaani mdogo wake na x boyfriend wa mchumba wangu akanivujishi inshu kua et kaka yake kipindi bado ana relation na huyu G friend wangu waliwah ku abotion.

Jamani hiyo ishu imeniuma sana mpaka sasa nashindwa nini cha kumfanya maana niliwahi kumuuliza mapema sana kama ana mtoto au aliwahi kutoa mimba lakini akanikatali katakata.

Jamani waungwana huyu ananifaa kweli?

Wallahi ukimchunguza sana bata humli japo vijana mnapenda kula bata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom