Mpaka iondolewe ndio wanatulia

Mpaka iondolewe ndio wanatulia

Hakuna ajuaye ya kesho na wala hakuna ajuaye moyo wa mtu mwingine......mi naamini hakuna mwanamke anayependa kuwa na msururu wa vidume ila inatokea tu unaangukia kwa mtu ambae hakupendi kwa dhati koz moyo wa mtu ni kiza kinene

Imekua too much!!!
 
Machek bob Ndo wanaowavutia zaid warembo hasa ujanani, na ndo uwa wanajiamini had kuweza kuwatoa bikra, magud boy Weng ni kama washamba flani ivi so kwa kipindi cha ujana wasichana uwa hawawapend kabisa

Sema Mkulu p, Waambie.
 
Ni kwanini wanaume hawaoi wasichana waliowabikiri wanaoa waliobikiriwa na wenzao, labda tuambiane kuna siri gani hapo ukibikiri unaacha ukikuta aliebikiriwa ndio unaoa, kifupi kwa nini mnabikiriana?
 
Ni kwanini wanaume hawaoi wasichana waliowabikiri wanaoa waliobikiriwa na wenzao, labda tuambiane kuna siri gani hapo ukibikiri unaacha ukikuta aliebikiriwa ndio unaoa, kifupi kwa nini mnabikiriana?

Mhhh! hapa napo pazito pia. Haya sasa ndugu zangu Marijali wazee wa 90 Degrees, kama mimi hebu tulijibu hili swali. Maanake ni lakweli kabisa 100%.
 
Siku hizi hakuna bikra labda ya vitoto vichanga. Mazingira hatarishi yanyomzingira mtoto wa kike bikra haiwezi kaa. Wanahitaji msaada wa kuwavusha kwenye kizazi hichi cha zinaa na hila.
 
Yani wewe cjui nikupe zawadi gani, ubarikiwe sana.kwa mtazamo wako!
 
Katika utafiti wangu usio rasmi, nimegundua kua wasichana wengi wanakua wapole na kujidai kujituliza sana kusaka Mume wa Ndoa baada ya kubikiriwa na Mtu ambae hakua na malengo kabisa ya kumuoa na mpaka hapo wanakua wamesha mwagana na pengine kaachiwa na katoto juu.

Inawezekana pia kabla ya hapo, Kijana sahihi ambae alikua anampenda kwa dhati alimzingua akampelekea chekbob akammega na kuingia mitini.

Yaani kila unaekutana nae hakuna Seal. Why?

Hivi ni kwanini?

Kwaio good boys ni wala makombo?😕
 
Hakuna ajuaye ya kesho na wala hakuna ajuaye moyo wa mtu mwingine......mi naamini hakuna mwanamke anayependa kuwa na msururu wa vidume ila inatokea tu unaangukia kwa mtu ambae hakupendi kwa dhati koz moyo wa mtu ni kiza kinene

Sema weee yani hapo ndio tunapochafuka
 
Hakuna ajuaye ya kesho na wala hakuna ajuaye moyo wa mtu mwingine......mi naamini hakuna mwanamke anayependa kuwa na msururu wa vidume ila inatokea tu unaangukia kwa mtu ambae hakupendi kwa dhati koz moyo wa mtu ni kiza kinene

mke mwenza umeongea vyema sana leo
 
Back
Top Bottom