Baby M
JF-Expert Member
- Apr 18, 2012
- 1,037
- 415
Nahisi kichwa chako kimejaa mchuzi badala ya ubongo...
Maana ungekuwa na ubongo hata wa mende tu...ungejiona jinsi gani ulivyo mjinga..
Kwa kifupi ngoja nikutoe gizani huyo jamaa amechoka kufua majinzi yake na kufagia na usafi kwa ujumla kwa hiyo anahitaji housegirl.....ambaye ni wewe apo...
HAKUNA KOSA KUBWA KATIKA MAHUSIANO KAMA KUTOKUWA MUAMINIFU....
mhhh sema wewe bora umeliona hilo.. hope aatafunguka macho...