Recent content by TATA50

  1. T

    JamiiForums Tanzania Dotto Bulendu: Waliojiuzulu ubunge kuunga mkono Rais, leo hao hao wanaomba kufanya kazi ile ile

    Mh!. Kua mzalendo Kwa mama yetu Tanzania
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikujua kumpoteza Baba ni kugumu hivi

    Pole sana Dada! Mwenyezmungu amrehem inshallah! Unaweza mfariji huko aliko Kwa kutenda mema Kwa ajili yake,eg toa sadaka,chimba kisima Kwa jamii,nk, yaan fanya jambo jema ambalo ni endelevu lenye thawabu/ malipo Kwa Muumba,huku ukielekeza hizo thawabu kwake. Kweli kufiwa na Baba n jambo...
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua tabia ya ndugu subiri aoe

    Hunyu,umeongea kweli kabisa. Ambao hamjaoa hebu jaribuni kuwasoma na kuwajua vizuri tabia za wachumba na wazazi wa wachumba zenu.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kufuga samaki inalipa sana. Ila ni kwanini wengi hupata hasara?

    Hongera na ubarikiwe sana ndugu. Huu ndio uzalendo. Tumepata elimu nzuri ya ufugaji. Nasubiri sshemu ya pili yke. Swali langu,je unahitaji mtaji kiasi gani kufuga kambare 2000 mpaka unavuna?
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Yusuf Makamba ulivyokataliwa na Magufuli

    Kwan we ndugu unaishi wapi? Mabenk mangapi yamefirisika? Na mengine kupata hasara? Bajeti ya last yr,imetekelezwa Kwa 30℅ only. 70℅ ya fungu lililopangwa kufika kwaajili ya miradi halikwenda. Toka ameingia ofisini hajatoa ajira,anafanya uhakiki. Nyumba ngapi zimebomolowa za wananchi...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    [Inapendeza]
  7. T

    JamiiForums Tanzania Usajili Simba SC: Hawa Ndio Wanabaki, Wanaoondoka na wanaotarajiwa Kusajiliwa

    Simba kuna wapigaji tu,viongozi Hamna. Bora Mo, awaondoe aweke administration Mpya. Sasa mshambuliaji unamjaribu Kwa mechi moja tena na katim kadhaifu ka daraja LA kwanza?, Bora waendelee kumvumilia Mavugo may be atabadilika in the future.
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni vitu gani muhimu vya kumchunguza mpenzi kabla ya kumchagua awe mwenza wako maisha katika ndoa

    Hii kitu,haina jibu moja, Unachopenda we we mwingine,hakipendi, Lkn vipo vitu n common,awe navyo,eg i_Awe na hofu ya mungu(mcha mungu) ii_Awe na upendo wa kweli kwako,though wapo wanaoeza fake.nk
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini niongeze kipato chagu

    Unatokea mkoa gani?, je huko unaweza pata aridhi Kwa kilimo na ufuhaji?, Kama maswali yote,jibu ni ndio, fanya haraka urudi,huu n msimu wa kilimo,lima lima mazao ya chakula,biashara,fuga pia,ikiwezekana. Baada ya miezi kadhaa,utakua na hela ya kuanxia kama mtaji.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Picha: Mtoto "anayetelekezwa" kila siku daraja la mwendokasi Kimara anatia simanzi.Watu wa haki za watoto chukueni hatua

    Ni kweli nilishahi pita Mara kadhaa kwe hilo daraja lkn sijawahi kumuona huyo mtoto anaezungumzia mleta taarifa. Wengi niliowaona n watu wazima,wenye ulemavu wanaomba msaada Kwa wapita njia. Yawezekana huyo Mtoto anae sema aliwekwa hapo Kwa muda then akaondolewa. Lakini kama alikua na...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Picha: Mtoto "anayetelekezwa" kila siku daraja la mwendokasi Kimara anatia simanzi.Watu wa haki za watoto chukueni hatua

    Kama ni hivyo,ulianza kutoa ripot police,sawa,kiukweli umetimiza wajibu wako. Askari hao wamekwepa tu hayo pia n majukumu yao. Kwa nini wasichunguze,ili wamshika Mzazi wa Mtoto?.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Picha: Mtoto "anayetelekezwa" kila siku daraja la mwendokasi Kimara anatia simanzi.Watu wa haki za watoto chukueni hatua

    Umeshindwaje,kutoa taarifa palepale Kwa wale watu usalama?, Tena pale kituon,pa kukata tiketi kuna mpaka askari, Umeshindwa kumwambia askari,au wahudumu pale wafuatilie,unatuma post Jf? Bado hujachelewa fanya hivyo ukimkuta tena
  13. T

    JamiiForums Tanzania Utengenezaji wa juisi ya Stafeli

    Oh!, hata Mimi nalipenda sana,hili tunda, hivi miche yake nawezaipata wapi Kwa hapa Dar? Nataman nipande hata miwili tu
  14. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo ndo nimetimiza miaka 5 ya uchumba. Na haya ndo nimemwandikia mrembo wangu

    5 Yrs,bado wanazini tu? Huo ni uchafu, Na wajiandae na adhabu ya motoni
Back
Top Bottom