Ukitaka kujua tabia ya ndugu subiri aoe

Ukitaka kujua tabia ya ndugu subiri aoe

Muendee sumbawanga atarudi kwenu zaidi kimisaada[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji387] [emoji387] [emoji387] [emoji387] [emoji387]
 
Fall apart !![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mara nyingi watu wanabadilika mwanzoni ili Ku impress ukweni halafu akiona kumbe ndoa ni kitu cha kawaida anarudi kwenye mstari. MPE muda
 
Mtu akioa majukumu yanaongezeka, kwa hiyo na nyie mizinga mpunguze
 
Watu bwana
Sasa mtu ameingia stage nyingine ya maisha unataka awe vile vile

Binafsi namshauri mtu yoyote mwenye uwezo awasaidie ndugu zake namna ya kujikwamua na siyo kuwapa pesa kwa ajili ya matumizi,hiyo inakua ni long term plan

Kuja kuepusha mambo kama haya.

Mwanzo alikua anahudumia familia moja,sasa hivi ana familia tatu anaweza kuwa sawa?
 
Nilichojifunza:
wanawake mara nyingi huwa wanatuzidi akili sana hasa tunapoanza mahusiano, na hii inasababishwa na kwamba wanaume wengi huanza mahusiano baada ya kuanza kuona mwanga wa mafanikio na hapo labda kamaliza form six na matokeo yako poa anauhakika wa kwenda chuo au kamaliza chuo kikuu kwahiyo kwenye suala la mahusiano anakuwa mbumbumbu kabisa.

Wanawake wanaanza mahusiano toka wakiwa la tatu. Atabadilisha wanaume hadi ile sehemu inaanza kutoa moshi lakini yumo tu. Hadi anakuja kufikia umri wa kuolewa, ashasoma saikolojia ya wanaume na anaijua vizuri na akishakuona tu anajua jinsi ya kukuhandle ili uwe unakabidhi mshahara wote kwake. Utadhani unapendwa saaaana kumbe mwenzio anatafta wa kumuuzia vimeo vyake vya kugongwa hovyo miaka mingi na ale pesa zako kiulaini bila jasho.

Ukimuoa tu na ukaanza kukaa nae, ndio utakuja kuanza kugundua kuwa kuna vitu vidogo vidogo haukuvitilia maanani na vimekuwa vyakweli kabisa na vinacost mahusiano yako, unabaki unagugumia tu kuwa ningejua nisingefanya haraka kuoa.

Same applied to financial issues na kukucontrol, akili ile ile kubwa ndio inayotumiwa na wanawake. Wanaume kutokana na umbumbu wetu katika suala zima la mahusiani huwa tunajikuta tunakabidhi mshahara wote kwa mwanamke kwa mwanvuli wa kuonyesha mapenzi ya kweli kumbe mwenzio ashakulia target zamaaaaani.

Wanawake acheni dhambi!!
 
Huwajui ndugu wewe, yani watever utakachofanya its a fact mume atapunguza misaada ya kwao kabla hajaoa, hiyo ni natural koz ameoa na majukum yameongezeka. So hata kama unasema utamshauri thats theoretical na ndio utaona ndugu kama mtoa mada wakianzisha nyuzi kama hizi.
Hilo najua lipo ndio mana nikasema mtu akioa automatic majukumu huongezeka hivyo atafocus katika familia yake kuliko ndugu.
Hapa nilichoongelea mimi ni ile kujitahidi asiache kabisa kusaidia hata kama ni kwa kiasi kidogo.
Kumbuka kuna wanaooa na kuacha kabisa kusaidia kwao hilo ndio sitaki litokee.
Lawama zipo mana binadamu sisi haturidhikagi hilo kawaida mbona.
Cha muhimu asiache yale ya msingi anayopaswa kuyafanya kama uwezo anao.
Nadhani umenielewa
 
Kuna mahali nilisoma maneno haya ,mtu ataachana na Wazazi wake, ndugu zake na ataambatana na mkewe.
Sijui ni sahihi au nimekosea.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kijana mizinga kibongobongo haishi bro anaogopa cm ya home coz aliwazoesha kugawa minoti sahv waziri wa Mambo ya ndani amemkaba bro mpk akiona cm ya home anajua n mzinga
Wala sio mizinga coz home wako vizuri. Na uchumi mzur tu. ni ile anajitenga sana kuliko kawaida
 
Hakuna uwiano familia yenu mtayoianzisha comes first. Ni ujinga kuwaza atoe sawa kwenye familia yenu na kwa ndugu zake, hao ndugu nao wajitafutie. Haya mawazo ya kulea watu wazima sijui mnayatoa wapi. Smdh
Hujanielewa
Familia tuliyoianzisha ndio kipaumbele halafu huko kwa wazazi ni kubalance kusiwe na upendeleo kwa upande mmoja.
Vile vya muhimu kufanya vifanywe na sio majukumu ya familia za wazazi ajitwishe yeye.
Tatizo hapa ni ile mwanamke unataka kwenu tu ndio papate ahueni hujali kuwa mumeo nae ana wazazi hata kama wanajiweza muwe mnaenda kuwatembelea na kushiriki nao baadhi ya mambo.
 
Naona kuna watu wanachanganya topic hii na utegemezi,sio sahihi.

Lazima tukubali sisi waafrica hasa jamii zetu wengi wetu ni maskini na kwa familia zetu wengi mpaka kufanikiwa huwa tunapita mikononi mwa watu wengi sana.

Mfano umesoma kutoka primary ulikuwa unaishi kwa ndugu,ndugu wengine walikuchangia ada na mpaka ukafika mahali ulipo.

Je ukifanikiwa hupaswi kusaidia na wenzako nao wafike mahali ulipofika?

My brother, akiwa chuo alikuwa ananiomba hela namtoa hadi hela ya kufungulia account ya kazi yake ya kwanza aliniomba Mimi.

Bi mkubwa kamhangaikia sana jamaa mpaka katoboa.

Leo hii kapata kazi,kaoa Mimi nampigia simu one day vyuma vimekaza ananijibu nikatafute ndugu wengine watanisaidia.

Hapo hapo anajenga ukweni kwao,kasomesha mpaka kuwatafutia kazi mashemeji zake.

Huwa hatulaumu kwa sababu ya uvivu hapana,ni kwa sababu watu wengi huwa mnajisahau mlikotoka.

Usisahau ulipotoka kisa tu umepata kazi nzuri na kuoa,kumbuka huyo mkeo ungekutana nae enzi zile unatuomba hela za nauli na matumizi angekukubalia?
 
Mleta mada na ndugu zako Man up mjitegemee. Kaka yenu hata Kama sio familia yake hapaswi kuendelea kuwalisha nyie watu wazima na ndevu zenu, na wewe mwanaume bila hata aibu unakuja kulialia basically unalalamika umeachwa kulishwa bure wakati unaweza jitafutia. Miafrika sijui mnakaliaga akili, mnapendwa kulelewa si wanaume si wanawake. Smh
Nadhani wengine hapa tunazungumzia wazazi zaidi.
Sio uhudumie familia yote sasa ukianza hivo sijui familia yako itaendelea saa ngapi.
Tatizo kibongo bongo mtu hajio gezi kuwa kuna tofauti kati ya kipindi mtu anafamilia na kipindi yupo bachelor.
Wanachojali wao ni nafsi zao tu tena wengine wakiona unavihela wanabweteka kabisa na kukugeuza chuma ulete.
Kasheshe inakuja siku umeoa lazima upunguze ili misaada kwa kiasi na hapo tatizo ndio linapoanzia.
Mimi nitakachokomaa nacho ni mume kuwajali wazazi wake asijisahau.
Hao ndugu wananguvu wajitegemee labd kama wanasoma,ugonjwa au matatizo yanayohitaji msaada mkubwa.
 
Mpaka leo sijaelewa bado inakuwaje unashikiwa akili na mke mpaka basi?


Utotoni unakuwa haujawahi cheza kombolela na vibinti ama?
 
Waafrika bwana na extended family.Mtoto wa kiume akishaoa kila anachokitafuta ni kwa ajili ya familia yake.Misaada kwa ndugu ni jambo la pili.Watu wengi hukosea hapa ooh mwanamke anamuendesha,kamshika masikio,kamlisha limbwata nk.Tatizo hili liko sana Afrika.Mwanaume akishaoa anatoa misaada muhimu tu kwa ndugu.
 
Hiz familia za kiafrika hiz kuna wakt mwingne ata hawana uhakika km unahudumia ukwen ni hisia zao tu wanazifanya ndo ukwel so wanaanza kulaum. Unakuta tu mtu ameshindwa kusaidia tena nyumban sab vyuma vimelegea bas wao wanaanza kujenga slogan zao zenye mlengo wa kumshutum mke wa kaka yako. Shame on African extended families.

Heshim sana mtu mwenye familia u never know what he/she is going through mbaya zaid hawez kukwambia kila kitu hasa mwanaume anaejua wajib wake.
 
Nilichojifunza:
wanawake mara nyingi huwa wanatuzidi akili sana hasa tunapoanza mahusiano, na hii inasababishwa na kwamba wanaume wengi huanza mahusiano baada ya kuanza kuona mwanga wa mafanikio na hapo labda kamaliza form six na matokeo yako poa anauhakika wa kwenda chuo au kamaliza chuo kikuu kwahiyo kwenye suala la mahusiano anakuwa mbumbumbu kabisa.

Wanawake wanaanza mahusiano toka wakiwa la tatu. Atabadilisha wanaume hadi ile sehemu inaanza kutoa moshi lakini yumo tu. Hadi anakuja kufikia umri wa kuolewa, ashasoma saikolojia ya wanaume na anaijua vizuri na akishakuona tu anajua jinsi ya kukuhandle ili uwe unakabidhi mshahara wote kwake. Utadhani unapendwa saaaana kumbe mwenzio anatafta wa kumuuzia vimeo vyake vya kugongwa hovyo miaka mingi na ale pesa zako kiulaini bila jasho.

Ukimuoa tu na ukaanza kukaa nae, ndio utakuja kuanza kugundua kuwa kuna vitu vidogo vidogo haukuvitilia maanani na vimekuwa vyakweli kabisa na vinacost mahusiano yako, unabaki unagugumia tu kuwa ningejua nisingefanya haraka kuoa.

Same applied to financial issues na kukucontrol, akili ile ile kubwa ndio inayotumiwa na wanawake. Wanaume kutokana na umbumbu wetu katika suala zima la mahusiani huwa tunajikuta tunakabidhi mshahara wote kwa mwanamke kwa mwanvuli wa kuonyesha mapenzi ya kweli kumbe mwenzio ashakulia target zamaaaaani.

Wanawake acheni dhambi!!
Hunyu,umeongea kweli kabisa.
Ambao hamjaoa hebu jaribuni kuwasoma na kuwajua vizuri tabia za wachumba na wazazi wa wachumba zenu.
 
Hakuna hoja hapa.

Subiri nawewe uoe then uone kama fungu litatosha kuligawanya kwa familia yako na kwenu Kama mwanzo.
Ukishaoa simply umeongeza majukumu, Sasa kama mwanzo ulikua unatuma pesa nyingi kwenu basi ,zitapungua kwa sababu mzigo umeongezeka, tatizo la familia zetu ni kulaumu sana, unakuta Dada anataka umpe pesa, shangazi anataka pesa, rafiki yako wa primary anataka pesa, mtoto wa mjomba anataka pesa, sijui mtoto wa nani anataka pesa hivi mnadhani pesa tunazitoaga wapi eti???

Kibaya ni pale ukweni nao wanapoamua kukutumia kama source of income, hivi hamjui Kama nasi tuna wazazi na ndugu zetu wanahitaji msaada?

Kila mtu akomae, msaada hua sio lazima ni kupenda kwa mtu.

Mimi binafsi nishapiga marufuku misaada ya hovyo hovyo iwe ukweni iwe kwetu, kwa mfano sichangii harusi, kipaimara, send off, mahafali ya Darasa la Saba, mahafali ya form Four kwangu sichangii hata mia.

Mimi nachangia ela ya mtu kwenda shule, chuo, ugonjwa na mengine yanayofanana na hayo.

Alafu ndugu punguzeni lawama mjue hata sisi tunapigana kusimamisha familia zetu.
 
Kuna kamsemo huwa nakaskiaga kanasema

"Unagubu kama ndugu wa mume"

hasa sijui haka kamsemo kana ukweli gani???
 
Back
Top Bottom