Recent content by Tashacobbs

  1. T

    JamiiForums Tanzania Million 622 zakwapuliwa tena, mkurugenzi hana majibu ya fedha zilipo

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  2. T

    JamiiForums Tanzania Niliposema TTCL inakwenda kufa rasmi na kuna mkono wa mtu nilibezwa

    Na huu ndo ukweli Wanaoumia hapa ni wananchi na sio hao wasukuma mana hao kama ela za kuishi kama wako dubai wanazo
  3. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna mtu kakopa benki zetu 5 katoweka

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ni nani waliongeza cha juu kwenye manunuzi ya ndege ya mizigo?

    Adi siku itokee watanzania wote tuhame kwa muda wa mwaka 1 alafu waje mabeberu hapa for just a year,tukija kurudishwa nchini kwetu tutapoteana mana hutajua buza wapi,bunju wapi,masaki wapi yani maji safi kila sehemu,hospitali hujui ipi private ipi public zote nzuri,shule sasa yani kuanzia social...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Nilikatazwa Kwenda kuchunguza Uvamizi Clouds, niliambiwa nitafukuzwa kazi

    Sisi tunachoomba gharama za bando zishuke hayo ya uvamizi kwa sasa hayatusaidii!
  6. T

    JamiiForums Tanzania Maombi yenu tafadhali

    Yesu awatunze,yote yaende salama
  7. T

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    Story nzuri Big up
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke niliyetegemea kumuoa nimekuta picha zake group la Telegram

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka jamani
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Hatua kwa hatua hadi ndege ya Precision kuanguka ziwani

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Hatua kwa hatua hadi ndege ya Precision kuanguka ziwani

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 raila alaumiwe kwakweli
  11. T

    JamiiForums Tanzania What is this ? Mo Jay??!

    Inaonyesha jinsi gani mo hajapata mke Asubiri tu matukio,mwanamke mwenye akili timamu hawezi kwenda kwa baby mama wa mumewe eti akafanye alichofanya huyu kisa tu eti kawatukana! Aibu kwa hao walomwajiri huyu jamaa,
  12. T

    JamiiForums Tanzania Jirani kaniudhi sana siku ya Jumamosi

    🤣🤣🤣🤣🤣 Hatimae kwio amkwaza mtu🤣🤣🤣
  13. T

    JamiiForums Tanzania Zumaridi aviponza Vyombo vya Habari. TCRA yatoa onyo na kuvitaka kusimamia misingi ya utoaji habari

    Watu wanapenda kuchukulia vitu very serious wakati vingine unapaswa kuchukulia kama comedy tu ucheke uongeze siku zako za kuishi Kama ni kwasababu ya zumaridi hapo TCRA mmefeli pakubwa, Hakuna mwenye akili timamu atakua bothered na story za zumaridi mana unajua tu anatafuta popularity and after...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Raja AC yashtushwa na kipigo alichotoa Simba kwa Horoya

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  15. T

    JamiiForums Tanzania Hili ndilo fumbo la kifo

    Jamaa walimuua bila hivyo adi leo tungekua nae legend wa "we are the world",
Back
Top Bottom