Recent content by Tarrus

  1. Tarrus

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lema ashindwa kufikishwa kortini baada ya kukosekana gari la kumleta

    Combination ya Tundu na Kibatala ni sawa na Sanchez na Walcot pale Arsenal,Bravo makamanda!!
  2. Tarrus

    JamiiForums Tanzania Inahitajika Mashine ya Kufulia Nguo

    Shukrani mkuu ila hii ni top loader me napendelea zaidi front loader
  3. Tarrus

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Tetekuwanga (Chicken Pox): Maambukizi, dalili, madhara na tiba

    Pole mkuu jaribu kupakaa majivu pia bibi alinambia ni dawa
  4. Tarrus

    JamiiForums Tanzania Inahitajika Mashine ya Kufulia Nguo

    Tunasubiri hizo picha mkuu bila kusahau kutuambia na capasity yake
  5. Tarrus

    JamiiForums Tanzania GITARAMA: Jehenamu duniani!

    Inaogofya kwakweli
  6. Tarrus

    JamiiForums Tanzania Tafakari ya leo; Hakuna mtu ambaye ni self made

    Elimu Elimu Elimu
  7. Tarrus

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mbunge wa Jimbo la Dimani(CCM), Ndg. Hafidh Ali Tahir afariki dunia

    Apumzike kwa amani mh mbunge
  8. Tarrus

    JamiiForums Tanzania Inahitajika Mashine ya Kufulia Nguo

    Asante kwa ushauri wako mkuu ila wengine tupo Mbwinde hakuna hayo maduka ya kufanyia window shoping that's why tunakuja humu jamvini
  9. Tarrus

    JamiiForums Tanzania Inahitajika Mashine ya Kufulia Nguo

    Shukrani sana na mawasiliano yako nnayo ntakutafuta soon
  10. Tarrus

    JamiiForums Tanzania Inahitajika Mashine ya Kufulia Nguo

    Habari wanabodi,mwenye mashine ya kisasa used au brand new ya kufua na kukausha nguo at the same time(two in one) yaani washing and drying machine kwaajili ya biashara naomba tuwasiliane ila iwe na sifa hizi: *Front loader machine *Capasity 10kg *Eco friendly Note: Kama ni used naomba iwe katika...
  11. Tarrus

    JamiiForums Tanzania Bado sijapata mchumba

    Picha yako tafadhari
  12. Tarrus

    JamiiForums Tanzania Mchumba anahitajika

    Dogo una gari kiwanja au nyumba? Kama hauna acha kujitafutia stress
  13. Tarrus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kutoa elimu photoshop bure

    Kwann usianzishe whats app group mkafundishaniana huko?
  14. Tarrus

    JamiiForums Tanzania Dk. Mwaka afungua kampuni, ni ya vifaa vya afya, urembo na usafi

    Hivi,Tfda si ipo chini ya wizara ya dr kigwa ama?
  15. Tarrus

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Besigye released on bail

    Kwa Tanzania hakuna dhamana sijui sheria ya hao ndugu zetu inasemaje
Back
Top Bottom