mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Wakuu kwa jina naitwa Felix ama JF name ni liljustine.
Kwa muda sasa nimekua nikijifunza the use of Photoshop (ie photo manipulation) kupitia you tube sources na books.
Sasa ugumu nlikua napata pale unapotaka assistant hasa pale ambapo hujaelewa vizuri. Watu wengi wanakua wakinitajia kipato ambacho kwa kweli nakiona kwangu kinakikwazo.
kumbuka
Bado mimi mwenyewe sijawa Pro ila nakuahidi kukufundisha yote nnayojua na ntakayojua kadiri ya uwezo wangu bila kukutoza gharama yoyote.
Kwa yeyote ambaye yuko interested anitafute kupitia namba 0786371108... Tafadhali nitafute whats app ili niwe na record nijue naanza na wanafunzi wangapi...
Ukiwa seriois we will move quickly.
Mahitaji...
Uwe na *Computer* na muda na internet at least mb 60 tu kwa siku.
Naomba niwasilishe moja wapo ya demoreel yangu
Nakumbusha tena...
Kabla hujanipiga dongo au kunidiss kumbuka bado na mimi nasoma. Ila ugumu nlioupata unanifanya niamue kusaidia wengine..