Recent content by tarki abdallah

  1. tarki abdallah

    Ni nini sababu ya vifo vingi wakati wa kuhiji?

    Tukizungumzia hija ya mwaka jana,tatizo lilikuwa ni mahujaji kugombea njia moja ,kulikuwa na baadhi ya kundi moja linarudi kutufu na lingine linaenda sasa walipo ambiwa ninyi mpite chini wale mashiha wakakataa na kuanza kusukumana hawa wanaenda na hawa wanarudi,ila zaidi ya yote ahadi nayo...
  2. tarki abdallah

    Jaza ujazwe ya Tigo yaleta kizazaa, Jamaa atishia kuwashtaki

    Waseme tia utiwe,au weka uwekwe duuh yote mbaya hii
  3. tarki abdallah

    Jamani nampenda sana huyu member, sijui nitampataje

    Ameeleza hisia zake,safi hiyo nimependa
  4. tarki abdallah

    Usipite bila kusoma huu ujumbe

    Mimi siamini hilo ingekuwa hivyo ,basi ajali zingekuwa hazitokei kw 7bu inapotokea ajali wapo wanao pona na wanaokufa,sasa kw maana hiyo ilibidi ajali zisiwepo mpaka wabaki wale wanaotakiwa kufa tu wasichanganyike na wengine
  5. tarki abdallah

    Nilimkataza asimuoe, hakunisikia, Ila tangu amuoe, maisha yake yamekuwa duni kupita maelezo!

    Aaa mimi nawaomba wana jf msiwe mnachanganya lugha,tunaenda vizuri kwenye mada zenu mbele mnatuchanganya,hata muda mwingine alifabeti zinakosewa yote hayo ya nini?km ni kiswahili iwe hivyo na km kiarabu iwe hivyo n,k.mmenielewa lakini nyie wazungu pori
  6. tarki abdallah

    Kumbe ndio maana wahindi wanatudharau sana

    Yaani umenifurahisha sana ndg ,ttz la wtz ni kujizarau tu na kuona wenzetu ni bora sana,naona kw picha hizo hapo atajielewa km hao nao ni wabongo au ,mimi naomba mkituletea mada yoyote ile muwe mmeifanyia uchunguzi yakinifu je kw wenzetu mambo hayo yapo au laa sio unaleta jambo kiushabiki...
  7. tarki abdallah

    Kwa hili la Ugaidi Mahesabu kwangu yanakataa!

    Sijakuelewa kidogo uliposema kwenye nyumba za ibada
  8. tarki abdallah

    Kwa hili la Ugaidi Mahesabu kwangu yanakataa!

    Umenena vyema kabisa,kuna hawa us ,utasikia wanasema tulijua mapema kuwa sehemu furani itashambuliwa,sasa km hivyo ndivyo kw nn wasizuie,ni kweli wazungu si watu wazuri kabisa
  9. tarki abdallah

    TFF tusomeeni upesi sana hiyo barua iliyofika mchana huu kwa DHL ili Wanasimba tujimwage mitaani

    Barua haijasomwa we umejuaje km simba kapewa ubingwa ?
  10. tarki abdallah

    IRAN yaiwekea vikwazo Marekani

    Ikitokea hivyo babu ujue hata kule kwetu gwata ujue kutakuwa na foreni brbrn
  11. tarki abdallah

    Moja ya michezo mizuri zaidi duniani!!

    Daah ebwanae kweli kagari kangu ka uzeeni nikipeleke huko
Back
Top Bottom