Kumbe ndio maana wahindi wanatudharau sana

Kumbe ndio maana wahindi wanatudharau sana

Hahaha hah hAaaa
Bujibuji kama nchi hii tuna waziri anasema vyerahani 4 ni kiwanda, ni tatizo, these are our think tanks, to make industrial revolution!
Nimependa andiko lako and I quote:"

Wafanyabiashara Wanalia, wakulima Wanalia, wanafunzi Wanalia, wafanyakazi nao WANALIA.
Rais anafurahia mateso ya watu wake, kila mtu anamuona ni mwizi isipokuwa BASHITE na Mrisho Gambo tu".
 
Jeshi lina vitengo vingi hicho cha kuvunja mawe na mazoezi mengine ni commando's, vichwa vipo vingi tuu tena vikali ila havitumiwi ipasavyo kufanya innovations etc. That's one area hatujaitazama vizuri kitaifa
Jeshi letu litategemea imported technology hadi lini? Ni lazima tuwe na technology yetu wenyewe
 
Sijui kwa nini India inashambuliwa kiasi hiki, hawa jamaa wamewekeza sana kwenye elimu! Sayansi, Sheria na Biashara vitabu vingi bora ni vyao refer akina Chand na Maheshwari.......

India kwenye mataifa kumi yanayotengeneza silaha zake nzuri wamo sema hawana sifa za kijinga kama North Korea
 
KikulachoChako, Nyerere alisema ili nchi iendelee inahitaji watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora.
TNZANIA imekosa siasa safi na uongozi bora.
Viongozi wamegeuka miungu, wanataka wananchi tuishi kama mashetani.
Viongozi hawana nia ya dhati ya kulikomboa taifa. Ni aibu waziri wa viwanda kudai ukiwa na vyerehani vinne una miliki kiwanda.
Nchi haina sera za kueleweka za kukuza uchumi.
Wafanyabiashara Wanalia, wakulima Wanalia, wanafunzi Wanalia, wafanyakazi nao WANALIA.
Rais anafurahia mateso ya watu wake, kila mtu anamuona ni mwizi isipokuwa BASHITE na Mrisho Gambo tu.
Nakubaliana moja kwa moja na hoja yako.....
Ili tuendelee tunahitaji hivyo vitu vitatu kama ulivyoanisha hapo juu.....lakini nguzo kuu ya maendeleo ni siasa safi na watu....

Kwa macho na akili ya kawaida ni kwamba tumeshafeli na hakuna muelekeo wa kushinda kama taifa....

Lakini tunapaswa kukaa chini na kutafakari kwa kina, hivi hao viongozi wameshushwa au ni sisi ndio tumewaweka madarakani....!!??

Mwisho wa kulalamika, kunung'unika na kulia ni lini...!??
Ina maana tutakuwa tunalalamika hadi mwisho wa dunia...!??

Mwanadamu mwenye akili timamu lazima achukue majukumu ya changamoto zinazomzunguka......

Kumbuka kuwa hata hayo mataifa tajiri ambayo leo hii tunayapigia mifano ni kwa sababu wananchi wake walichukua hatua na maamuzi pamoja na kuwajibika juu ya taifa lao na bado wana pambana na changamoto hizo....kwa namna yao.....

Bado nasisitiza kulalamika na kulia hakuwezi kubadilisha hii hali.....

Kulalamika kwetu hakuwezi kukomesha rushwa serikalini na ubadhilifu wa mali za umma

Kulia lia kwetu wananchi hakuwezi kukatuletea utawala bora....

Kulia lia kwetu hakuwezi kukatuletea huduma bora za kijamii...

Kulalamika kwetu hakuwezi kukatuletea elimu bora kwa vijana wetu bali tunapaswa kuchukua hatua kwa ajili ya ukombozi wa taifa hili dhidi ya mabedui waliojimilikisha

Kumbuka msingi mkuu wa taifa kuendelea ni siasa safi inayoleta viongozi bora...watakaokuja na sera na mipango bora ya maendeleo ambapo ndio vinafuata matumizi ya rasilimali watu na ardhi.......
 

Attachments

  • IMG_6240.JPG
    IMG_6240.JPG
    7.7 KB · Views: 38
Katika ulimwengu huu tunaoishi...matendo ya wengine dhidi yako vinatokana na wewe unavyoonekana au kujieleza mbele yao....

Tanzania bora tunayoitaka haiwezi kupatikana kwa sisi kulalamika na kuidharau nchi yako kwa kiwango hiki kwa kuwa tu una chuki na mtawala bali kwa kuchukua hatua dhidi ya jali hiyo usiyoipenda kwenye taifa lako.....na sio kuisema vibaya nchi yako ambayo wewe unaishi....

Jukumu la kuileta TANZANIA tunayoitaka ni la kila mmoja wetu....kila mmoja kwa nafasi yake achukue hatua anazoona zinafaa katika kuileta Tanzania mpya....lakini kuitukana na kuidharau kwa kila aiana ya lugha chafu haiwezi kutuletea Tanzania tunayoitaka

Lazima ifikie kipindi tuwajibike kwa hali zetu na sio kulalamika tu, kama ni utawala mbovu basi tufikirie jinsi ya kuuondoa madarakani kama ni changamoto nyingine za kitaifa pia tufikirie jinsi ya kupambana nazo.....Na sio kulalamika tu...
35086ea0210a0a11db138fb45546eba5.jpg
dfabb186fb8cb09188ec320d6d9533a7.jpg
43c629c24c61106356e57bc21f8654ef.jpg
f9b9af3ec3500ff336db32e0c1018f58.jpg
649755ab1b08dce1df082961a447d797.jpg
a314c2ff876e6cd13235a1a7c4b9a269.jpg
Yaani umenifurahisha sana ndg ,ttz la wtz ni kujizarau tu na kuona wenzetu ni bora sana,naona kw picha hizo hapo atajielewa km hao nao ni wabongo au ,mimi naomba mkituletea mada yoyote ile muwe mmeifanyia uchunguzi yakinifu je kw wenzetu mambo hayo yapo au laa sio unaleta jambo kiushabiki tu,wabeja sana
 
Vita za sasa duniani kila mtu kujionesha hata kwa photoshop au video edit ili mradi haonekane kwenye yutube kuwa anajua teknolojia
 
Hii kitu bado inaniumiza akili sana ile vita ilitucost mno

Kilichotugharimu sio vita kilichofanyika baada vita.....
Marekani kila kukicha wanapigana vita lakini uchumi wao unazidi kupaa....

Kuna nyakati vita ndio chaguo kuu ili kuweka mambo sawa.....

Mtu mwenye hekima hawezi kumlaumu mtu aliyefanya kosa bali anayerudia makosa yale yale.....hapo ndio inapokuja tafsiri ya neno PUMBAV.U

Naweza nikasema sisi Watanzania ni wapumbav.u kwa kuwa ni mpumbav.u pekee ndiye anayeweza kumpigia kura mtu au chama kile kilichomsababishia matatizo yale yale.....huku akitoa ahadi zile zile.....

CCM haina uhalali wa kutawala mbele ya macho ya mtu mwenye akili timamu na ubongo unaofanya kazi bara bara

Tunahitaji akili na mawazo mapya ili kujikwamua au kujinasua kwenye hili tope zito walilotuzamisha.......
 
Katika ulimwengu huu tunaoishi...matendo ya wengine dhidi yako vinatokana na wewe unavyoonekana au kujieleza mbele yao....

Tanzania bora tunayoitaka haiwezi kupatikana kwa sisi kulalamika na kuidharau nchi yako kwa kiwango hiki kwa kuwa tu una chuki na mtawala bali kwa kuchukua hatua dhidi ya jali hiyo usiyoipenda kwenye taifa lako.....na sio kuisema vibaya nchi yako ambayo wewe unaishi....

Jukumu la kuileta TANZANIA tunayoitaka ni la kila mmoja wetu....kila mmoja kwa nafasi yake achukue hatua anazoona zinafaa katika kuileta Tanzania mpya....lakini kuitukana na kuidharau kwa kila aiana ya lugha chafu haiwezi kutuletea Tanzania tunayoitaka

Lazima ifikie kipindi tuwajibike kwa hali zetu na sio kulalamika tu, kama ni utawala mbovu basi tufikirie jinsi ya kuuondoa madarakani kama ni changamoto nyingine za kitaifa pia tufikirie jinsi ya kupambana nazo.....Na sio kulalamika tu...
35086ea0210a0a11db138fb45546eba5.jpg
dfabb186fb8cb09188ec320d6d9533a7.jpg
43c629c24c61106356e57bc21f8654ef.jpg
f9b9af3ec3500ff336db32e0c1018f58.jpg
649755ab1b08dce1df082961a447d797.jpg
a314c2ff876e6cd13235a1a7c4b9a269.jpg
Nchi ya walalamishi hii, watu wanalalamika asubuhi hadi jioni ila hawana suluhisho wala uthubutu wa kufanya mabadiliko.
 
India nchi maskini toka lini? Wapo G20
 
Nchi ya walalamishi hii, watu wanalalamika asubuhi hadi jioni ila hawana suluhisho wala uthubutu wa kufanya mabadiliko.
Inashangaza kwa kweli.....
Hata wanyama wa porini wametuzidi maarifa na uwezo wa kufikiria....

Hata ndege ukimfungia kwenye tundu siku zote anatafuta mlango wa kutokea....

Lakini sisi wanadamu wa huku Tanzania tupo nje ya tundu bado tunajiingiza kwenye tundu kila baada ya miaka mitano....tukiwa kwenye tundu tunalalamikia tundu.....
 
Nchi ya walalamishi hii, watu wanalalamika asubuhi hadi jioni ila hawana suluhisho wala uthubutu wa kufanya mabadiliko.
Nilipochoka zaidi ni pale kijana yule wa jiji hapo wakati juzi anajitetea TV nyota.. Kuna raia aliianzisha Thread flani hapa nayo kama ilikuwa upande wa kumjali jamaa yule. Nachoka zaidi wakati miaka 3.. Matusi juu ya Kikwete na baraza lake.Halafu baada ya mwaka na nusu analiliwa.

Nachoka zaidi wale wale walioiitwa masifisadi wapo tena kwa nafasi tofauti tofauti.Nature yetu ndio majibu ya hapa tulipo.Wapo wengi sana sio wote wanaojitahidi japo kupaza sauti lakini nani atawasikia.Ikiwa hapa nchini hatuwezi kutofautisha SIASA na SAYANSI NA TEKNOLOJIA??

Tujiangalie tu... Ni nchi gani inatumia hela za wahanga kwenda kukarabati miundombinu?Ni nchi gani inaweka budget hewa na bunge lipo linakenua meno tu? Ni sawa na ndani umeoa na unamwonea mwanamke kila mara. Atanung'unika sana na mwisho atakaa kimya au afanye maamuzi ya upande wake.

Shida zinaanza kwetu sio kwa wasomi na si kwa wasio wasomi. Tuna leo tu hatuna kesho kutwa. Mpaka sasa tuna dira za kufikirika na kurupushi.
 
Nyumbu project ilifika hatua wakaunda magari enzi hizo kwa sasa imeshindikana sababu ya bajeti wenzetu hapo juu tu Ethiopia wanaunda wenyewe magari vita kama vifaru sisi hatuko tayari kuwekeza though hata kuvunja tofali inabidi uwekeze pia kwenye misosi na training jeshi letu wakipewa fungu la kutosha watafanya mengi mazuri kwa kuwa wana wasomi wa kutosha nguvu na ari ingawaje nasikia siku za hivi karibuni mkuu wao amewavuruga hatari
 
kaka india sio nchi maskini wanajitosheleza kwa kila kitu wanalima vyakula wanamadaws wanajeshi zuri wanamadaktari wanao wanasayansi wana nyuklia ila wana population ya pili duniani baada ya China.
 
Mnaalika watu wa mataifa mbalimbali kwenda kuwaonyesha ujinga wenu, eti commando anapigana na mawe, hakika huo ni ujinga kabisa.

India taifa masikini ona wanachokifanya.


Nikusahihishe, India siyo nchi masikini, ila kuna watu masikini. Ni Taifa linaloendelea kwa kasi na wendngi ni wafanyabishara waliosambaa duniani kote na wameendelea sana kwa sayansi na technology. Wanaviwanda vikubwa vya magari, pikipiki, na vitu vingi yva kitalaamu, Wameendelea kimatibabu na kila siku wagonjwa walioshindikana sehemu mbalimbali duniani hupelekwa india. Hakuna nchi ya Africa (Tanzania) yenye uchumi kama India.
 
Back
Top Bottom