Moja ya michezo mizuri zaidi duniani!!

Mto_Ngono

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
686
589
Ni raha sana kuingia kwenye mashindano haya ya magari. Ukiwa na control nzuri na ukijua namna ya kuchezea gari katika njia zote utashinda sana mithili ya kina Michael Schumacher. Lakini nadhani watanzania walio wengi hawapendi sana michezo ya aina hii wanaoshiriki wengi wana asili ya Asia.. we unadhani kwa nini!?

Naupenda sana mchezo huu sema .......!!!
 
Waasia wengi hawana woga na mchezo huu harafu c wakufikiria mke wangu nikifa nitamwacha na nani harafu gari mpaka tustaafu kazi ndio tununue carina ya kutembelea sasa tutauweza wapi huu mchezo ukiangalia picha hyo ya pili ktk kioo kimeandikwa DELINA huyo ni devid mosha na ni tajiri wa kichaga
 
Ni raha sana kuingia kwenye mashindano haya ya magari. Ukiwa na control nzuri na ukijua namna ya kuchezea gari katika njia zote utashinda sana mithili ya kina Michael Schumacher. Lakini nadhani watanzania walio wengi hawapendi sana michezo ya aina hii wanaoshiriki wengi wana asili ya Asia.. we unadhani kwa nini!?

Naupenda sana mchezo huu sema .......!!!

Umeongea ukweli mtupu mkuu.
 
Inakuwaje raia wanaachiwa kuingia katikati ya barabara ihali mashindano yakiendelea!!?.

Tusipojirekebisha ipo siku yanaweza kutokea madhara makubwa kwa mashabiki wa mchezo huu.
 
Back
Top Bottom