Recent content by TANZANIABORA

  1. T

    Hivi Tanzania nini tunachoweza?

    Kwa sasa kweli yote yametushida ila ukweli ni kwamba tunaweza kila kitu. Tatizo kubwa ninaloliona ni ubinafsi hasa kwa viongozi wetu japo hata kwa wananchi...ila zaidi kwa serikali ikiwa kama injini ya nchi. Maendeleo hayaji kwa miujiza something should be done. Tukiamua tunaweza na uzuri...
  2. T

    Mambo muhimu kuhusu google adsense

    Mkuu nashukuru sana kwa maelezo haya. Ni ya muhimu sana na nimekuwa nikijiuliza baadhi ya maswali ambayo majibu nimepata hapa. nikikwama nitakujulisha kamanda! Together we can!
  3. T

    JWTZ na taarifa ya Mabomu Gongo la Mboto

    huyu jamaa anayetabasamu hapo aliyekaa kushoto ni nani?? kwa nini anatabasamu katika hali hii? au ndo system nzima ilivokaa?:spider:
  4. T

    JWTZ na taarifa ya Mabomu Gongo la Mboto

    na mbagala ilikuwa ajali siyo? then itatokea nyingine na nyingine> ni uzembe wanatakiwa watuombe msamaha!! hamna mambo ya bahati mbaya!:spider:
  5. T

    JWTZ na taarifa ya Mabomu Gongo la Mboto

    ni sawa unavuta sigara halafu unawaambia wenzako wasivute
  6. T

    JWTZ na taarifa ya Mabomu Gongo la Mboto

    Tunaweza kupata audio hapa? na wamesema kitu gani hao!
  7. T

    JWTZ na taarifa ya Mabomu Gongo la Mboto

    Wanachezea tu hela zetu hao na migari hiyo we acha nina uchungu sana!
  8. T

    Dr Slaa tunakusubiri UHURU

    sorry hapo juu ni "wagosi wa kaya" na si "wagisi wa kaya" . Tunahitaji viongozi wa wananchi na si viongozi wa matumbo yao na familia zao. Na uongozi wa kifalme hatutaukubali Tanzania wajue hilo maana ndo kinachoendelea....kila mtu mwenye macho na akili anaona. Hatutakubali!
  9. T

    Dr Slaa tunakusubiri UHURU

    Wajinga ndo waliwao ila kuna siku! Nakumbukaga sana wagisi wa kaya na kibao chao kileee.....kuna siku hata wakulima watajitokeza na ............:spider:
  10. T

    JWTZ na taarifa ya Mabomu Gongo la Mboto

    Hapa kweli rais ilibidi atuambie kosa ni la nani. Kwa hakika lazima awepo mwenye kosa hapa. Hata kwenye kampuni au shirika lolote inapotokea kasoro fulani inajulikana hiyo inamhusu nani. Hapa inamhusu nani? mambo kama haya yanatakiwa kuwa wazi na ndo maana ilitakiwa watu wajiuzulu hapa kwani...
  11. T

    JWTZ na taarifa ya Mabomu Gongo la Mboto

    Natoka nje ya mada. Hebu tujaribu kufuatilia mlolongo wa mambo ambayo yametokea ndani ya miaka kama 5 iliyopita hadi sasa. Inabidi tuone uchungu sana kwa maisha ya watanzania wenzetu walioporwa uhai na serikali, then tuone uchungu kwa hela zetu kuchezewa hovyo. Hayo mabomu yaliyolipuka hovyo...
  12. T

    JWTZ na taarifa ya Mabomu Gongo la Mboto

    Hawa jamaa inabidi ifike mahali waache kutuona sisi wendawazimu!! Hapo atatoa blabla tu hamna chochote. We need to look for permanent solutions to many problems we have. I always believe the main problem is with the government aka viongozi wetu. Lakini tunarudi pale pale uzembe na ubinafsi...
  13. T

    Serikali ya CCM ni janga la taifa

    Swali la kwanza nami nilikuwa najiuliza sana bila kupata jibu. Maswali mengi yapo na majibu hamna. Lakini kwa uelewa wangu finyu asilimia kubwa hapa ni uzembe pamoja na ubinafsi uliowatawala viopngozi wetu. Kuzika, rambirambi n.k. si chochote kwani familia ngapi zinafiwa tangu kuumbwa kwa dunia...
Back
Top Bottom