JWTZ na taarifa ya Mabomu Gongo la Mboto

Hivi hii siyo ilitakiwa iwe press conference ya Waziri au Mkuu wa majeshi?
 
HEADING YA HII THREAD... MH!!!

Mwamunyange ameitwa gafla kwenye shughuli nyingine
 
kama una simu yenye radio tune radio ONE na tbc wanatangaza unaweza pata chochote hata kama huna tv
 
sasa hao wanatuambia nn au wametumwa na mwamunyange nahisi mambo ya kiinteliginsia yamefamnya kazi "akiwepo mwamunyange pangetokea fujo"
 
Mwamunyange Aingia mitini, kuongea na waandishi wa habari SABABU ati Ameitwa kwa kazi nyingine muhimu!!!!!?????
 
Kama kawa, TBC wamekata kwani kuna overrule inaendelea.... kweli tumekua mnara wa babeli sasa
 
usishangae mwamunyange na husini wamepigwa chini... walikua wanahaha kweli leo
 
We halisi... mbona huyo mkuu wa jeshi hajaongea na hadi sasa ni nusu saa imepita? au soon in sswahili means later?

BTW, nimeona leo saa saba wanahangaika kweli kutokea kawe na lugalo lakini hawakwenda ikulu nadhani waliishia masaki... magari ya jeshi yalikua mengi kuanzi malori, land rover hadi zile pickup zao na taa za hazard

Jenerali Mwamnyange ameitwa kwa shughuli maalum, badala yake, sasa hivi live TBC, mkuu wa utambuzi anatoa taarifa kwa niaba yake.
 
HEBU NIAMBIE CHOMBO KIMOJA KATIKA HII SERIKALI KINACHOFANYA KAZI KWA UHAKIKA BILA UBABAISHAJI

Ni vigumu kuamini kwamba TBC watakatiza live press conference
 
Back
Top Bottom