Recent content by tanzaleo

  1. T

    Je, umeme wako (units za luku) unaisha sana? Zingatia yafuatayo

    Mkuu Mimi natumia units 6-7 Kwa siku ambazo naona ni matumizi makubwa kuliko uhalisia. Kuna fridge 1, fans 3 ambazo muda mwingi zipo on usiku mzima, pump ya maji ya kisima (nawasha mara 2 Kwa week, najaza litre 5000 Kwa lisaa 1 na dk 40), microwave (wastani wa matumizi dk 10 Kwa siku), TV, Taa...
  2. T

    Kutekwa kwa Paul Manzi, raia wa Rwanda nchi Tanzania kunaichafua nchi kidiplomasia

    Ndugu Mdude_Nyagali hii story umeileza vizuri sana. Mimi pia nilikaa Central week 2 cello moja na huyo Jasusi. Alinisimulia exactly ulivyoiweka hapo juu. Hii issue waliongea wakubwa JP na Kagame kuimaliza juu kwa juu. Jamaa alitoka Central na kurudi Rwanda ingawa sikujua Kwa masharti yapo...
  3. T

    Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

    Duuh! Ngoja tutulie na kusoma kuielewa licha ya maelezo kuwa marefu! Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
  4. T

    Kuna Askari anayehusishwa na video ya vitendo vya aibu, Jeshi la Polisi lije na ufafanuzi kuweka mambo sawa

    Hiyo video ni ya zamani Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
  5. T

    Home tuition services

    Mwalimu kwa nini usitumie tu lugha ya kiswahili? Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
  6. T

    Barua ya wazi kwa IGP: Kuna uwezekano mkubwa hawa watuhumiwa wakafia kituo cha polisi kwa uzembe wa wafanya kazi wako

    Mkuu asante kwa taarifa. Huyu ni wewe pia? https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/2047705/
  7. T

    Jiko la gas plate 3 jipya linauzwa

    SEMA bei yako ya mwisho inayobebeka tukukwamue
  8. T

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Naomba kufahamu wapi naweza kupata turubai bei ya jumla (Mpya pamoja na used)
  9. T

    Nimechoka maisha ya kusindikiza

    Nani kakudanganya kuwa mganga ndiye anayeweza kukupa dawa ya kupata ajira? Ukishamwamini mganga wa kienyeji ndio utapotea mazima, hakuna mtu mwenye mafanikio ya kweli aliyefanikiwa na kudumu katika mafanikio kwa kumtegemea mganga. Unatakiwa upambane kuumiza akili katika kujitafutia kipato...
  10. T

    CHADEMA kama wangekata rufaa dhidi ya hukumu wangejiweka pazuri zaidi 2020

    Mkuu hivi malipo yanayofanyika mbadala wa kifungo yanatakiwa kulipwa ndani ya siku ngapi baada ya hukumu? Samahan Kwa swali nje ya mada Sent using Jamii Forums mobile app
  11. T

    Kunde nyeupe (Cowpeas)-Mkoa gani zinapatikana kwa wingi

    Habari za leo, Nahitaj kufaham ni mkoa gani naweza kupata Kunde nyeupe Kwa wingi na bei Kwa kilo ni kiasi gani. Ninahitaji tani 400. Asante. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. T

    Serikali ingilia kati dhuluma ya Ethiopian Airlines

    Angalia vigezo na masharti kwenye ticket then uone kama swala linaruhusu kurudishiwa pesa ya ticket ama lah! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. T

    Nauza nafaka kwa bei nafuu

    Unaweza kupata zaidi ya tani 18 Kwa watu wengine wa huko Masasi? Hizo njugu mawe na njugu tofauti yake ni nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. T

    Muhtasari wa kilimo cha baadhi ya mazao jamii ya kunde

    Aisee! Maana yake soko litakuwa halieleweki Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom