MIAMIA.
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 210
- 82
Habari
Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza; mamlaka ya ndege nchini Tanzania na mamlaka nyingine zinazohusika na ili nchini Tanzania.
Kifupi ni waTanzania wengi na mimi nikiwa mmoja wapo; tuliokuwa tumekata ticket zetu kwa safari za kwenda nchini china kuanzia katikati ya mwezi wa mbili na kuendelea tangu mwaka jana. Mimi binafsi ticket yangu ni $930 Dar es Salaam kwenda Guangzhou (930*2315=2,152,000/-Tshs) lakini safari ikiwa imefika wenzetu Uchina walikumbwa na janga la corona virus.
Sasa katika hali hii kuniambia mimi nisafiri niende hivyohivyo sio sawa; moja kuna katazo la waziri mkuu (wao wanasema hawalitambui). Tumeomba turudishiwe pesa au watupe open ticket nyingine ili hizo gharama tulizolipia tusafirie wakati mwingine wao hawataki. Wanachojibu kama hausafiri ni hasara yako hii si sawa.
Na ajabu zaidi kwa anaetaka badilisha matumizi ya ticket yake wameongeza gharama za kuchaji kufikia 600,000/- ya kiTanzania. Huu ugonjwa wao wametumia fursa kujinufaisha na sio kutoa huduma. Ni hayo tu; mamlaka husika Chonde Chonde hii ni nchi yenu na wasafiri wengi ni wanachi msiruhusu mashirika ya nje yakaweka mamlaka yao ndani ya mipaka yenu ya kazi.
Mapendekezo yangu: kwa wale wote waliokwisha lipiaga ticket za china kabla janga la ugonjwa alijatokea wapewe nafasi ya kutumia ticket zao wakati mwingine bila gharama ya ziada (pindi hali itakapo kuwa salama) au ikibidi warudishiwe pesa zao ata kama Masharti ya ticket husika ilikuwa ni nun refunded coz hakuna binadam yoyote asiefahamu nini kimetokea uchina na nini kinaendelea.
Aksante.
Sent using Jamii Forums mobile app