Jiko la gas plate 3 jipya linauzwa

Jiko la gas plate 3 jipya linauzwa

therealjoh

Senior Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
108
Reaction score
88
Habari wakuu nauza jiko langu la gas plate tatu jipya kwenye box lake,nimepata shida ya haraka.Bei ni 180,000 maongezi yapo,jiko liko dar es salaam ilala.

Mawasiliano call/WhatsApp/sms 0688 055 606.

Karibuni sana.

IMG_20210701_134717_755.jpeg
 
Aisee hili jiko nilinunua laki mbili na arubaini kwa wale waarabu wamisri roho imeshaniuma huwenda nilipigwa khaa... Anyway ni jiko zuri sana
Ulipigwa. Hapo ungeongeza laki na 50 unanunua oven kabisa[emoji3]. Tena yenye plate nne za gas na moja ya umeme
 
Mimi nauza kwa maana nimepata changamoto ya kifedha ya dharura na jiko ni jipya kabisa halijawahi kutumika.
 
Back
Top Bottom