CHADEMA kama wangekata rufaa dhidi ya hukumu wangejiweka pazuri zaidi 2020

MEXICANA

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
1,772
2,032
Kukubali hukumu hii ya kesi iliyokuwa inawakabili viongozi wa CHADEMA katika mbinu za kisiasa hasa kuelekea uchaguzi mkuu 2020 ni mbinu dhaifu Sana.

Ikumbukwe bado mna hoja nzito ya tume huru ya uchaguzi,na mazingira yaliyopelekea mpaka mnatiwa hatiani,kisababishi ni hiyo hiyo tume ya uchaguzi.

Ilipaswa kukomaa mpaka kieleweke muachiliwe kwa kutopatikana na kosa juu ya kesi iliyokuwa inawakabili.

Pia soma >Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

> DPP: Bado naitafakari hukumu ya Viongozi wa CHADEMA, naweza kukata rufaa
 
Mkanda wa sinema ya chadema unakatika-katika kila mara, watanzania wamechoka kusubiri kuona sinema kamili. Wengi wanaanza kisepa.
 
Kukubali hukumu hii ya kesi iliyokuwa inawakabili viongozi wa cdm katika mbinu za kisiasa hasa kuelekea uchaguzi mkuu 2020 ni mbinu dhaifu Sana.
Ikumbukwe bado mna hoja nzito ya tume huru ya uchaguzi,na mazingira yaliyopelekea mpaka mnatiwa hatiani,kisababishi ni hiyo hiyo tume ya uchaguzi.
Ilipaswa kukomaa mpaka kieleweke muachiliwe kwa kutopatikana na kosa juu ya kesi iliyokuwa inawakabili.
Wamesha onyesha nia ya. Kukata rufaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kufanya hivyo kwenye mahakama zisizokuwa huru, mara jaji amasema kifungo miaka 3 bila faini. Judicial system imeshaharibiwa nchi hii kwenye kesi zenye mrengo wa kisiasa. Majirani zetu Kenya hoja ndio mwamuzi wakati kwetu ni maelekezo kutoka juu. Figisu za kesi hii toka mwanzo zilishaonyesha wazi kuwa haki haiwezi kutendeka. Anyway nchi imeingia kwenye kizazi ambacho sasa kisasi hakitaepukika, tutarajie ya Zambia, Malawi na SA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukubali hukumu hii ya kesi iliyokuwa inawakabili viongozi wa CHADEMA katika mbinu za kisiasa hasa kuelekea uchaguzi mkuu 2020 ni mbinu dhaifu Sana.

Ikumbukwe bado mna hoja nzito ya tume huru ya uchaguzi,na mazingira yaliyopelekea mpaka mnatiwa hatiani,kisababishi ni hiyo hiyo tume ya uchaguzi.

Ilipaswa kukomaa mpaka kieleweke muachiliwe kwa kutopatikana na kosa juu ya kesi iliyokuwa inawakabili.

So kwako kuandamana Ni Sawa kwa kuwa walikuwa wanaenda kwa mkurugenzi. Are you sick.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukubali hukumu hii ya kesi iliyokuwa inawakabili viongozi wa CHADEMA katika mbinu za kisiasa hasa kuelekea uchaguzi mkuu 2020 ni mbinu dhaifu Sana.

Ikumbukwe bado mna hoja nzito ya tume huru ya uchaguzi,na mazingira yaliyopelekea mpaka mnatiwa hatiani,kisababishi ni hiyo hiyo tume ya uchaguzi.

Ilipaswa kukomaa mpaka kieleweke muachiliwe kwa kutopatikana na kosa juu ya kesi iliyokuwa inawakabili.

Wakati wakiwa jela au sio
 
Kwasasa haiwezekani maana wametoa faini ni sawa nakusema wametumikia kifungo
Inawezekana sana tu,kwani wasingelipa faini na kukata rufaa unadhani wangekuwa wapi?Wangeisubiri rufaa huku wakitumikia kifungo,maana yake ni kwamba usipolipa,umechagua kifungo bila kuangalia kama unakata rufaa au vipi!
Ungekuwa umefanya utafiti kidogo,uzi huu usingeandika!
 
Kukubali hukumu hii ya kesi iliyokuwa inawakabili viongozi wa CHADEMA katika mbinu za kisiasa hasa kuelekea uchaguzi mkuu 2020 ni mbinu dhaifu Sana.

Ikumbukwe bado mna hoja nzito ya tume huru ya uchaguzi,na mazingira yaliyopelekea mpaka mnatiwa hatiani,kisababishi ni hiyo hiyo tume ya uchaguzi.

Ilipaswa kukomaa mpaka kieleweke muachiliwe kwa kutopatikana na kosa juu ya kesi iliyokuwa inawakabili.

..wangeendelea kukaa gerezani wangeweza kulishwa SUMU.

..nashauri viongozi wote wapimwe wasijekuwa wamelishwa sumu kama Mzee Mangula.
 
Kwasasa haiwezekani maana wametoa faini ni sawa nakusema wametumikia kifungo

Mkuu usipotoshe, faini ni hukumu/ashabu kama kifungo cha miezi mitano. Kukukubali kitumikia kifungo ni sawa sawa na kukubali kulipa. Hakuna namna mtuhumiwa anaweza kuondoka na hukumu bila kuitumikia au kufutwa kwa kukata rufaa. Mtuhumiwa akikata rufaa akashinda, hukumu hukumu ya kwanza inakuwa void!! Katika jambo hilo wakishinda, mahakama itafuta faini. Kama watapewa pesa hizo ni jambo lingine!

Acha na maoni kuhusu jambo usilolijua vizuri.
 
Taifa hili limejaa wajinga watupu mmojawao

Back
Top Bottom