Recent content by tanmoc

  1. tanmoc

    Dereva wa basi la Shabiby (T 706 DPS) kutoka Mbeya kwenda Dodoma anakimbia sana hata kwenye milima ya Nyang'oro

    80 unakuja kupiga kelele humu..? Kama si mzoefu na safari usikae mbele. Next time panda bajaji
  2. tanmoc

    Kampeni ya kuikataa Vodacom

    Shubamiti zenu Voda kwanzia juzi naweka jero tu ...mambo ya elfu 10 - 50 za net msahau , tunawapa pesa majiz na namadukuzi.... yaaan kukifupi nyie wambea mambo hayawahusu unaingilia sasa mkachukue hela za vocha hukohuko unakopeleka umbea wenu..... Pumbavu
  3. tanmoc

    Picha cha terminal 3 JNIA : Ni za kweli au downloaded ?

    Kampeni za uchaguzi wa mwaka 2015 zinapingwa Jengo la terminal 3 majengo yalikuwa wameshajengo ,bati zimeshapigwa(Jengo Lina bati kabambe sana),madaraja saba ya kupandia ndege yanamaliziwa hatua za mwisho.(ila sio Yale ya magurudumu yanayomove) Magu anaingia mradi ulisimama kwa muda wakichambua...
  4. tanmoc

    Makonda leo aombewa maombi maalumu ya kuimarisha ndoa Yake

    Tatizo kubwa ni Jina maana Kila wakimwombea kwa jina Paul Makonda Mungu anabaliki Paul Makonda Original yeye inatakiwa ambewe kwa jina lake Daud Bashite
  5. tanmoc

    Dar - Njombe

    Aliyetumbuliwa ana majibu yote
  6. tanmoc

    Makonda: (Short Video) Hachuji anachoongea

    Ni bwabwa huyu jamaa msichukulie sirias sana wajameni,maneno maneno ni asil yake, laana ya kujikana mwenyewe na kumkana babake .
  7. tanmoc

    Spika Ndugai: Masele hajaitikia wito wangu, akizidi kupuuza labda awe mkimbizi

    Sije ikawa dawa za India zidhuru Ubongo wake
  8. tanmoc

    Dreamliner ATCL yatumwa Sudan

    Ndio ...linakwenda na wajeshi tupu na linarudi na wanajeshi wengine toka Darful
  9. tanmoc

    Dreamliner ATCL yatumwa Sudan

    Linarudi na wanajeshi wengine waliomaliza muda wao
  10. tanmoc

    Zidumu fikra za Katibu wa Chama.....

    Huyo Bashite wanampa vyeo ambaovyo hawezi kuvitumikia ipasavyo Mimi nadhani anafit na natakiwa kuendelea maana pafomasiyake nzuri kwenye uenyekiti kuratibu Utekaji.
  11. tanmoc

    Dunia imeziachia Msumbiji, Zimbabwe na Malawi zijibebe mzigo wake zenyewe!

    South Africa walituma Helicopter zao nadhan ni ziadi 6 kusaidia uwokozi na wataalam wao
  12. tanmoc

    Wazoefu wa Nissan Murano tusaidiane hapa

    Wengi wao wanakalili kutoka kwa watu wasiojua magari au wamesimuliwa mm na Nissan Terrano number B liko mpka Leo na linadunda na engine haijashushwa ...!
  13. tanmoc

    Tunajua juzi tu Rwanda iliadhimisha miaka 25 ya mauaji ya Kimbari

    Utawala wa Rais Kagame utakuja leta maafa siku nyingine mbeleni.. Mpk sasa Wahutu na Watwa hawaruhusiwi kusema lolote kuhusu genocide maneno yao hayatakiwi kuvuka nje nyumba zao.wamebaki kimya wakiendelea kuongea chini chini, tena kwa sauti ndogo, wao kwa wao. Siku mmoja wakiamini watarudisha...
  14. tanmoc

    Hawa waliwahi kutamba sana awamu ya 4 na kutetemesha Jiji

    Hamna lolote mkali wapi mtongoze uone ndo utajua mkali au Sent using Jamii Forums mobile app
  15. tanmoc

    Mh.Makonda umejikwaa kidogo kumshambulia Pierre!

    Uko uchi aseee kavae nguo kwanza Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom