Makonda: (Short Video) Hachuji anachoongea

Makonda: (Short Video) Hachuji anachoongea

Wengi sana pale hizo ndo gari zao,
Yeye anamiliki hii sasa hivi,uliza bei yake kisha uniambie huyu ni mkuu wa mkoa tu kama alivyo Sendeka kule Njombe na Chalamila kule Mbeya au kuna la ziada?.

Wakati huo tunaambiwa huu utawala unapambana na wala rushwa na mafisadi.

1112948
 
View attachment 1112948
Hiyo si mchezo ni hatari
Ukiwa na gari hyo hivi vi ist lzima utaviona siyo!

Ova
 
Yeye anamiliki hii sasa hivi,uliza bei yake kisha uniambie huyu ni mkuu wa mkoa tu kama alivyo Sendeka kule Njombe na Chalamila kule Mbeya au kuna la ziada?.

Wakati huo tunaambiwa huu utawala unapambana na wala rushwa na mafisadi.

View attachment 1112948
Infiniti moja hatari sana, hii gari taa yake ndo bei ya Vitz
 
Rais wa Sudan aliyepinduliwa siku kadhaa zilizopita alivopelekwa Gereza alilolijenga mwenyewe kwa ajili ya mahasimu wake, alipofikishwa mle ndani aliwaambia yeye si pa kukaa mle ndani sababu mle ndani sio pa kukaa binadamu.

Muda utaleta majibu sahihi, haujawahi kukosea
 
Sawa Makonda kakosea ila bora hilo aliloliongea Makonda maana hata sie huku huwa tunaongea maneno ambayo hatufikiri tunaumiza hisia za watu wasisoma na watu wasio na watoto.
 
kijana mpendwa untouchable naibu rais daud bashite juu ya sheria mshika siri mkuu
 
Ni bwabwa huyu jamaa msichukulie sirias sana wajameni,maneno maneno ni asil yake, laana ya kujikana mwenyewe na kumkana babake .
 
Back
Top Bottom