Recent content by tanganyikanised

  1. T

    A God can be a mere theory, nothing more

    ........... Hata leo tunaambiwa Wazungu wanaakili sana kuliko sisi Weusi, na watu kama wewe kuamini hivyo! Kwahiyo siwezi kushangaa kuwa umeaminishwa na kuamini kuwa Nebuchadnezzar alikuwa na akili kuliko binadamu yoyote aliyepata kuishi! Upande mwingine, tunaambiwa Suleiman alikuwa na akili...
  2. T

    A God can be a mere theory, nothing more

    ............. Kuna theories nyingi zinazojaribu kujibu maswali yako na moja ya theories hizo ni dhana ya Mungu na Uungu, lakini hakuna theory hata moja inayojitosheleza (ikiwemo na dhana ya kuwa ulimwengu na kilichomo kimeumbwa na Mungu).
  3. T

    A God can be a mere theory, nothing more

    ........... Haya mambo ya kumezeshwa kwenye nyumba za ibada! Mi kila siku huwa nasikia miujiza miujiza, mbona wanaoponywa si watu tunaowafahamu........? Ukisoma kitabu, "his excellency head of the state", utapata japo picha kidogo juu ya fumbo la dini! Ni wazi binadamu ndo tumemuumba mungu and...
  4. T

    Aunty Ezekiel ampiga dongo Lema

    Huyu aunt Ezekiel, nani anaemfahamu USA, to the extent ya kuvutia utalii?! Ndo maana inazua hofu ya kuwako agenda fiche nyuma ya pazia!
  5. T

    Amboni Tanga: Askari Polisi, JWTZ wapambana na majambazi wenye silaha nzito za moto

    Filamu ya kura ya ndiyo kwenye Chenge draft na ushindi wa tsunami uchaguzi mkuu ndo ipo part 1! Najua swala la Panya road hivi karibuni litaibuka tena, na vijana zaidi ya 2,000 watakamatwa wasijiandikishe na hivyo kutokupiga kura! Propaganda za kitoto, ambazo zitaishia kuvuruga umoja na...
  6. T

    COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

    Eti mungu anatetewa na kuthibitishwa na binadamu😜
  7. T

    Kumbe Hata Wakristo Wana Mahakama Zao?

    Pia, hiyo RB ya Polisi imetolewa mkoani Pwani, hilo tangazo la Catholic linaonesha Dar (kurasini)! Afu unatuletea propaganda za kitoto.....
  8. T

    Kumbe Hata Wakristo Wana Mahakama Zao?

    .....yaonekane ni moja.....
  9. T

    Kumbe Hata Wakristo Wana Mahakama Zao?

    Hizo ni classified ads tatu (3), zilizokatwa kijanja, kupotosha! Juu kuna tangazo la polisi, kati kuna tangazo la RC, na mwisho kuna tangazo la mahakama ya kazi. Matangazo hayo matatu yamepigwa yamepigwa picha kijanja yaonekane kama ni muda. Hii ni akili ndogo, huna nia nzuri na watanzania...
  10. T

    Kumbe Hata Wakristo Wana Mahakama Zao?

    Mambo yale yale, kheri yetu sisi atheists.......religion is an opium of the people! Katiba iko wazi, nchi yetu haifungamani na imani yoyote ya kidini. Unataka serikali ambayo haina dini itunge sheria ya kuanzisha chombo cha dini!! Tayari Judicature and Application of Laws Act, inatambua...
  11. T

    Rais Kikwete amteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

    Ndugu wana JF, nimefurahi sana kwa uteuzi huu wa Bw. George Mcheche Masaju. Kwa ufupi: Ndugu Masaju, amewahi kufanyakazi ofisi ya mwanasheria mkuu kanda ya Dodoma, Mtwara, kanda maalumu ya Dar es salaam, mshauri wa sheria wa rais, na naibu mwanasheria mkuu. Ni mhitimu wa sheria Chuo kikuu cha...
  12. T

    Heshima kitu cha bure tumheshimu Raisi wetu

    Aaah ukitaka cheo angalau uwe na ka-title, Dr au Prof! Rais wa ajabu duniani, mfalme juha.
  13. T

    Kibaka auliwa DIT akiiba

    Hakika elimu haijawakomboa, huwezi kumtoa roho mtu kwa wizi wa simu na laptop, maswali ya kujiuliza; 1. Ni kweli ni mwizi, kuna ushahidi, imethibitika? 2. Na kama ni mwizi, kifo ni adhabu sitahiki, yaani inaendana na uzito wa kosa? Yaani unawezaje kuibiwa laptop, ukamtoa mtu roho!!!!! Afu...
  14. T

    Mke wangu kaniaga anaenda kwao kusalimia

    Haya ndo matatizo ya Tecno kuwa na internet...
Back
Top Bottom