Hao ndio wasomi wa digitale aka makanjanja,project nzima kaweka kwenye laptop tu hana back up kwenye desktop au hata flash hahaha.
Si suluhisho, aliyetoa habari si muuaji, na aliyeuwawa ni mwizi.Polisi kwa kushirikiana na TCRA wamfuatilie mtoa mada ili atutajie alioshirikiana nao kumuua huyu kijana ambaye tunafahamu fika kwamba ni 'innocent until proven guilty in a court of law' ma'nina..!!!!
Huyu mtoa habari amesema mwenyewe kwamba hawatamwacha mwengine atakaekuja, hivyo kwa huyu ameshiriki kumuua na hata 'watuhumiwa' wengine ataua tena! HIVYO NI MUUAJI! Huyu kijana atakuwa mwizi tu pale hakimu atakaposema kwamba ni mwizi.., not otherwise. POLISI NA TCRA MTUPE MREJESHO. na mimi siuachi huu uzi hadi eithr 1.) polisi watupe mrejesho juu ya kukamatwa kwa mtoa mada. 2.) Uzi upigwe kufuli.Si suluhisho, aliyetoa habari si muuaji, na aliyeuwawa ni mwizi.
Sasa unataka proof gani, pengine wewe weka mlango wako wazi Xmas hii kwa majaribio ya kisheria.
Kitu cha ,aana uwepo eneo la tukio.Huyu mtoa habari amesema mwenyewe kwamba hawatamwacha mwengine atakaekuja, hivyo kwa huyu ameshiriki kumuua na hata 'watuhumiwa' wengine ataua tena! HIVYO NI MUUAJI! Huyu kijana atakuwa mwizi tu pale hakimu atakaposema kwamba ni mwizi.., not otherwise. POLISI NA TCRA MTUPE MREJESHO. na mimi siuachi huu uzi hadi eithr 1.) polisi watupe mrejesho juu ya kukamatwa kwa mtoa mada. 2.) Uzi upigwe kufuli.
DON FRANCIS Nimeongeaa.
Kijana wa kati ya miaka 25 hadi 28 auawa na wanafunzi wa DIT baada ya kukamatwa akiiba alfajiri ya kuamkia leo. Kumekuwa na matukio mengi ya wanafunzi kuibiwa laptop SIM tablets pamoja na nguo. Mwili wa mwizi huyo upo barabarani kati ya uzio wa DIT na Regency hospital.
kijana wa kati ya miaka 25 hadi 28 auawa na wanafunzi wa dit baada ya kukamatwa akiiba alfajiri ya kuamkia leo. Kumekuwa na matukio mengi ya wanafunzi kuibiwa laptop sim tablets pamoja na nguo. Mwili wa mwizi huyo upo barabarani kati ya uzio wa dit na regency hospital.
Alishaiba semister ya kwanza akapelekwa polisi akatokewa kaiba tena tumPeleke polisi tena kufanyaje