SEMINA UBUNGO PLAZA; Watu wakaanza kujitambulisha, wa1; mimi naitwa john niko UDOMmwaka wa wa pili, nasoma LAW; wa2 naitwa Stella niko UDSM mwaka wa tatu nasoma PUBLIC RELATION, wa3 kwa kusuasua saaana huku akijishtukia, aaah, aaaaahh, eeeehhh eeeeehh mimi naitwa Paulo niko TANESCO mwaka wa4...