Jamani natafuta chumba maeneo ya kinondoni

Mambo vp, una kodi ya mwaka mzima? Je upo tayari kutumia choo cha kushare coz chumba kimoja ni vigumu kupata choo cha ndani km upo tayari weka namba yako au nipm namba yako tuwasiliane. Thanks
 
room ipo 4 a bachelor or couple. No kids wala beki 3 allowed. Kinondoni ila price ni 150
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom