Mtoto wa umri wa miaka mitano na matarajio ya kua raisi wa nchi!!!!!!!!

Oct 2, 2012
18
8
waweza kusema neno lolote juu ya mtoto huyu na mtazamo wako kuhusu picha hiii wewe kama wewe imekufanya ufikilie nini juuu yake????????
 

Attachments

  • o.jpg
    o.jpg
    51 KB · Views: 202
Haya H.Kigwangala, kama ulimsupport Zzk kutokana na ujana wake, basi sasa huyo hapo kijana kuliko Zzk, hangaika nae.

Mada ni mtoto wa miaka 5 kuwa president, hayo ya ZZK yanatoka wapi jamani?
Ama kweli ZZK 2015 anawanyima wengi usingizi!
 
Kweli kabisa angejua hayo maneno kwenye tshirt yalivyo na nguvu....angekuwa anajisikia raha na selected kabisa...angeanza kujiweka sawa kisaikolojia na kuwa groomed....kama wenzetu china!wanawatnza watoto wenye IQ kubwa kama 100 hivi wa rika tofauti ajili ya kuja kuwa Rais ambao wanawatengeneza kuwafundisha history na kila mfumo wa uchumi ,yaani kila kitu ili waje ku run dunia!
 
kuna mtoto mwenye miaka 7 amebakwa mpaka kufa baada ya kuvuja damu nyingi ni huko Simiyu wilaya ya bariadi baada ya wananchi kumfahamu aliefanya kitendo hicho walimkamata na kumshushia kipigo mpka kifo na kisha kuchomwa moto hakika mototo huyo aliefariki nae alikuwa na ndoto kama hizi...
 
Ya Mungu ni mengi. Anaweza kuja kuwa rais bila shaka. Walezi wake na jamii inayomzunguka wakimpa 'support' inayotakiwa ikiwemo ya kisaikolojia, hakika inawezekana.
 
Mbuyu ulianza kama mchicha, Lakini kamwe mchicha hautakuwa mbuyu.
 
Back
Top Bottom