Zuzu akiwa na mwalimu wake ndani ya chumba cha mtihani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zuzu akiwa na mwalimu wake ndani ya chumba cha mtihani

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Tanganyika one, Oct 6, 2012.

 1. Tanganyika one

  Tanganyika one Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  University students waliingia kwenye quiz ya kuongea,two friends ambao walikuwa wakisaidiana walikubaliana aingie mmoja ambaye yuko vizuri kichwani ili akitoka ammezeshe mwenzie.

  Kwakuwa muda ulikuwa mdogo sana na wanafunzi walishagundua kuwa maswali yalikuwa yakijirudia basi yule jamaa aliyeingia wa kwanza alipotoka akaamua kummezesha mwenzie majibu tu.

  SWALI LA 1 BY PROF: WHEN WAS TANZANIA INDEPENDENCE?

  JIBU LA BRIGHT STUDENT: IT WAS SUPPOSE TO BE 1960 BUT IT POSTPONED TO 1961 DUE TO MANY REASONS.

  SWALI LA 2 BY PROF: WHO BROUGHT INDEPENDENCE?

  JIBU LA BRIGHT STUDENT: SO MANY PERTICIPATED BUT IT WAS MWALIMU NYERERE AND KAWAWA WHO FINALISED IT.

  SWALI LA 3 BY PROF: IT BELIEVES THAT IN MARS THERE ARE LIVING THINGS,DO YOU BELIEVE?

  JIBU LA BRIGHT STUDENT: SOME SAY YES,SOME SAY NO BUT SCIENTISTS ARE STILL INVESTIGETING.  Sasa alipoingia yule kijana ambaye uwezo wake darasani haukuwa mzuri na kwakuwa alikuwa amekariri majibu tu ilikuwa ni patashika humo ndani ya chumba cha mtihani.

  SWALI LA 1 BY PROF: WHEN WERE YOU BORN?

  JIBU LA STUDENT MJINGA: IT WAS SUPPOSE TO BE 1960 BUT POSTPONED TO 1961.

  SWALI LA RPOF: WHAT?!!!!!!!!!!! WHO IS YOUR FATHER BY THE WAY.

  JIBU LA STUDENT MJINGA: SO MANY PERTICIPATED BUT IT WAS MWALIMU NYERERE AND KAWAWA WHO FINALISED IT.

  SWALI LA 3 BY PROF: OHHHHHH MY GOD! ARE YOU CRAZY?

  JIBU LA STUDENT MJINGA: SOME SAY YES,SOME SAY NO BUT SCIENTISTS ARE STILL INVESTIGETING.
   
 2. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  copy & paste!

   
 3. M

  MTENDAHAKI JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,992
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Tenaaaaa!
   
 4. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Hahahahaaaa...
   
 5. w

  wankaba New Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Copy and paste
   
Loading...