Recent content by tandamu boy

  1. tandamu boy

    JamiiForums Tanzania Agenda ya Katiba mpya haipaswi kubebwa na mikono michafu ni najisi?

    Katiba mpya si ya kusubili. Hii ya kutohoji popote matokeo ya uchaguzi yaliyotangazwa na tume haikubaliki
  2. tandamu boy

    JamiiForums Tanzania BoT yaingilia kati sakata pesa za Lissu

    Hivi wewe kama ndugu au jamaa unachangia matibabu ya mtu kule apolo india. Hera unampa muhusika au unatuma moja kwa moja apolo!!? Mi sijamuelewa huyu spk kwa kweli
  3. tandamu boy

    JamiiForums Tanzania Ukiwa umelewa, fanya hivi ili kuepuka ajali na kifo

    Dont drink n drive
  4. tandamu boy

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnaopenda wanaume wenye pesa

    Yaani mtu akitaka blouse akatoe maku, akitaka sket akatoe maku, akitaka lotion akatoe maku, akitaka wigi akatoe maku, akitaka ndewele akatoe maku!! Mpaka huyo mtu anakuja kuolewa huko chin kutabaki kitu kweli!!!??
  5. tandamu boy

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnaopenda wanaume wenye pesa

    Si wanapendezeshwa na kazi wanazofanya!!? watapendezEshwaje na wanaume na hajaolewa!!?
  6. tandamu boy

    JamiiForums Tanzania Je nani wa kulaumiwa usipofikishwa?

    Wamekalia lawama tu kujituma sifuri
  7. tandamu boy

    JamiiForums Tanzania Natafuta TV inch 22

    Huwezi pata
  8. tandamu boy

    JamiiForums Tanzania Haya mafuta ni hatari sana

    Fafanua
  9. tandamu boy

    JamiiForums Tanzania NSSF sio mfuko mzuri kujiunga kwa waajiriwa Wapya

    nssf ilala ukienda mlinzi getin anakuuliza shida ililiyokupereka. Hawana customer care kabisa
  10. tandamu boy

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

    Hata mdada mweusi kidogo harafu mrefu anakuwa mtamu
  11. tandamu boy

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi huwaogopa wanawake warembo na wenye sura nzuri kuwatongoza

    Wazuri sana wana kasoro zingine
  12. tandamu boy

    JamiiForums Tanzania Muhimbili hii ni aibu, msipotumbuliwa ntashangaa

    ndo maana mimi mpaka leo siamini kama serikali imeshindwa kutokomeza malaria kabisa. Sekta ya afya kuna wapiga deal wengi sana
  13. tandamu boy

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa kike aliniharibia kazi. Nimfanye nini?

    Mkuu supervisor mtaftie watu wamtatue malinda
  14. tandamu boy

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kuoa anatafutwa

    Thank you
  15. tandamu boy

    JamiiForums Tanzania IJUE SHERIA: Namna ya kumsaidia ndugu yako kupata dhamana Polisi

    Mambo muhimu haya. Ahsante sana. Ila ungetusaidia sana kama ungeisupport na vifungu
Back
Top Bottom