Muhimbili hii ni aibu, msipotumbuliwa ntashangaa

Muhimbili hii ni aibu, msipotumbuliwa ntashangaa

Afundushe kienyeji and then mtu aache majukumu yake and baadae naibu wazuri akijakukuomba cheti huna sababu unefundishwa kienyeji wengu tulimkatalia huyo mama and then huwa anajirahisisha sana

Inaonekana wewe unafahamu kiundani hili swala. Unaweza kuelezea zaidi?
 
ndo maana mimi mpaka leo siamini kama serikali imeshindwa kutokomeza malaria kabisa. Sekta ya afya kuna wapiga deal wengi sana
 
wataalam wetu hawataki kujifunza vitu wanavyoviona vigumu!Masuala ya DNA,cjui APS syndrome, Genetics and alike kwny mahospitali yetu hawayataki kuyasikia kabisa!wanayaita magonjwa magumu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa... Mkuu hata maprof wanaogopa vitu vigumu?
 
ndo maana mimi mpaka leo siamini kama serikali imeshindwa kutokomeza malaria kabisa. Sekta ya afya kuna wapiga deal wengi sana
Kuna ka-nchi West Africa kanatokomeza malaria saiz
 
Aisee inatia hasira watu hawawajibiki mpaka wawajibishwe
 
Ndio maana Trump katika mkutano wa G20 ilipofika katika kujadili kuhusu ishu za Africa [emoji288] alitoka njee na kusema hawezi kujadili watu walioshindwa kujiongoza

Tunakaa kula Ugali usiokuwa na faida yoyote katika Ubongo.
Wenzetu wanatumia kulishia nguruwe na ng'ombe, Sisi tunakula ndio uwezo wetu wa kuchanganua mambo unakuwa mdogo.
 
Bahati kama hizo akisema Halima mdee ataambiwa sio mtaalamu wa afya na lazima akapimwe mkojo.

Tanzania kwa maigizo.... Mwakajila hui lazima tipewe tuzo
 
Ila Wazungu mda mwingine ni ma complicater sana sikatai anachosema mtoa mada ila ukweli uchunguzwe,maana waziri wetu nae anaweza kukurupukia jambo hili kama ilivyo kawaida ya awamu hii.
 
kama wewe ni mhusika, majibu
Afundushe kienyeji and then mtu aache majukumu yake and baadae naibu wazuri akijakukuomba cheti huna sababu unefundishwa kienyeji wengi tulimkatalia huyo mama and then huwa anajirahisisha sana
yako ni majipu
 
Itakuwa ni ulaji wa mkubwa kupeleka specimen India.

Hii inanikbusha figisu alizofanyiwa heart surgeon marehemu dr. Maseru
Mara nyingi tatizo ni wataalamu! Kcri kuna maabara kubwa sana na kuna vifaa ambavyo havitumiki sababu hakuna experts wa kuvioperate! Anatoka mtu America anakuja anatumia then akiondoka ndio basi, saivi wameanza kuwasomesha watu wachache at least so msilaumu tu ndio maana hata ebola walipima kcri na wakapeleka sample Nairobi for confirmation!
 
Andika vizur kwanza sio maabara tu sema maabara ya mambo ya GENETICS.

Maana kama ni hiyo inayihusiana na mambo ya genetics sio ishu ndogo wewe mambo ya DNA
ngeshanga kuwa ni kitengo cha parasitology,au haematology ndo wanapeleka sample nje hapo kungekuwa na walakin maana hayo mambo sio complcate kivile
Lakin hiyo ya genetic sio kitoto mkuu na kama walokuwa wapeleka ili kulinganisha majibu watakayotoa waindia na yao mbona hakuna shida maana ni kujipa uhakika zaidi .
Umemjibu vyema sana! Ndio inavofanywa duniani kote kuna international standards na lazima wafanye comparison kujihakikishia tatizo la binadamu wa siku izi wanaona kila kitu ni dili hawataki ku appreciate professionalism! Huyu mleta mada amekurupuka anaweza kuwa mwanasiasa maana ndio tulionao awamu ya hii!
 
wataalam wetu hawataki kujifunza vitu wanavyoviona vigumu!Masuala ya DNA,cjui APS syndrome, Genetics and alike kwny mahospitali yetu hawayataki kuyasikia kabisa!wanayaita magonjwa magumu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio magumu hayana marupurupu! Na serikali hii usome uumie tu no rewarding kabisa! Phd holder wa pharmacy analipwa kahela kadogo kuliko HR anaelipwa hela nyingi na other benefits so why torturing yourself?
 
Back
Top Bottom