Recent content by Tan1947

  1. T

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Chukua 140k Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
  2. T

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Bado zipo? Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
  3. T

    JamiiForums Tanzania Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Wasomi natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu. Poleni na majukumu mazito katika ujenzi wa taifa. Naomba msaada wa kupatiwa precedents zinazoongelea power ya high court ku intervene kwenye Arbitration. Au kesi zoote zinazohusu Arbitration
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mbabe SATANA alikufa au bado yu hai?

    Uzi wa watoto wa mjini huu. Sisi tuliotoka nindo ngoja tuwe wapole
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke kisa hiki cha msanii Noorah na Fiesta

    Ni Contract of service na Contract for service. Sio contract of employment na contract of service. Soma Section 51 ya Labour Court Act
  6. T

    JamiiForums Tanzania Clouds FM, The Super Brand

    Cheki
  7. T

    JamiiForums Tanzania Clouds FM, The Super Brand

    Tafuta takwimu za kila mwezi za mwaka huu,EFM anaburuza
  8. T

    JamiiForums Tanzania Clouds FM, The Super Brand

    Nature abhor the vacuum. Asili haipendi ombwe. Hata industrial dominance ya UK ilipotea Kwa kujiamini kwao. Clouds walipokuwa peak walijisahau wakawa miungu watu. Walitengeneza maadui wengi hasa wasanii,enzi za kutishia kutopiga nyimbo za wasanii zimekwisha. Maendeleo ya technology yanawaumbua.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Chumvi haitakufaa kwa chai asubuhi bali itakufaa kwa mboga mchana.

    Umenifanya nifikirie kumsamehe my GF,kweli alinivunjia TV,kweli alinichania documents za ofisi,Lakini yapo mazuri mengi
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki wa kike mwanachuo anahitajika.

    Katika Maisha urafiki ni Jambo la muhimu na lisilokwepeka. Kwa muktadha huo najitokeza mahali hapa kutafuta Rafiki wa kike anayesoma chuo chochote kile hapa DSM. Life it's all about friendship. Karibuni PM
  11. T

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Chukua 60k
  12. T

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Punguza bei nilichukue hilo
  13. T

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Chukua 200k
  14. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta perfect woman awe mke wangu

    Unajiitaje perfect Wakati upo single? perfect asingetafuta mwanamke tena nyuma ya keyboards
Back
Top Bottom