kinyama nje
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 1,839
- 2,481
hili sekeseke alikufa pia baunsa wa zakhem pub maarufu anakiffua kipana mwilimkubwa wanamwita dabo difu. raia ni hatari kuna mtoto hapa kitaa wiki iliyopita raia wamemkausha akitoa panga halirudi anakaba hadi wazazi.Baada ya kipondo kule mwabepande alikuwa dhaifu kimwili.....ponapona yke kule alijifanya kafa
Ila mjomba alikuja umwaa
Walimvunjavunja sana....
Raia kule walitoka na mikuki magobole mapanga mbwa etc si mchzo ilikuwa
Wababe wengi walikalishwa
Ova