Recent content by tamaudj

  1. tamaudj

    JamiiForums Tanzania Lowassa akiongozana na Meya wa Jiji la Arusha wamtembelea Lema gerezani Kisongo

    Safi sana Rais wa wanyonge.rais mtarajiwa.
  2. tamaudj

    JamiiForums Tanzania Kupotea kwa Ben Saanane: Hoja za wananchi, kinachoendelea na maoni ya Waziri Mwigulu

    Bw.Mwigulu,naomba nikuulize swali kwa kuwa umejileta mwenyewe jf,hivi ndg yangu mnayowafanyia wapinzan wenu mnaona ni sawa?Hivi kwa akili ya kawaida mnafikiri mtaendelea kutawala milele?Hivi hii nchi ni yenu tu WENYE mlengo wa ccm na wengine WENYE mlengo tofaut nanyi ni wakimbizi?Kwa Nia njema...
  3. tamaudj

    JamiiForums Tanzania Kuhusu hili la stahiki za watumishi wa umma, Rais wangu kuna watu wanakuzunguka

    Ni kweli kwa haraka haraka ukisoma ujumbe wa mtoa mada unaweza usimwelewe,ila ametumia bonge la fasihi na tafsida,na tukizingatia hali ya sasa ukimwita dikteta uchwara ni kosa,na pia ukimwita mtukufu sana napo ni kosa,Ujumbe wa mtoa mada ni kweli umetulia,kikubwa ni kusoma kwa utulivu na umakini...
  4. tamaudj

    JamiiForums Tanzania Hizi ndiyo huwa zinaitwa inter-personnal issues

    Acha upumbavu,unapotetea u. Jin. Ga na wewe ni walewale.Huyu mkuu wa Mkoa hana busara hata kidogo,kwa nn apotoshe ukweli,ni kwa Faida ya nani?aache ujuha na kujikweza.
  5. tamaudj

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Uhakiki wa vyeti feki uanzie kwa Rais na viongozi wengine

    mbatia ni muwazi so yuko sahihi
  6. tamaudj

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    ndugu,tuwekee na za mikoa kama KAGERA,maana hata kwenye website ya Tamisemi hakuna,sasa sijui ndo yale yale ya kukurupuka toka day one hadi leo hawajagundua .
  7. tamaudj

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    wakubwa hmu jamvini nami naomba Joining instr.ya KISHOJU SEC.SCHOOL.
  8. tamaudj

    JamiiForums Tanzania Swali kwa mlioangalia taarifa ya habari ya ITV na Star tv usiku huu

    Mleta mada na wewe ni KILAZA kama vilaza wengine,Wewe ambacho kimekuuma kwenye taarifa hiyo ni nini?Ulitaka vipaza sauti vitoke wapi,Lumumba au Jehanamu?Acha umbea,tafuta maisha,
  9. tamaudj

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akifanya haya ataongoza kwa raha sana

    Aisee hili bandiko limetulia si mchezo.Jf tunahitaji vitu kama hivi,si kusifia ujinga ujinga wa ccm hata kwenye makosa ya wazi,kisa katamka Rais.safi kijana kwa bandiko murua.
  10. tamaudj

    JamiiForums Tanzania EU inaingilia siasa za ndani nchini!

    kwa ujumla ww ndiye hauna akili,kosa la Eu ni lipi hapa?yaan kusimamia ukweli unasema ni wachochezi?. Kwani kilichofanyika Zanzibar hata kipofu aliona na kiziwi alisikia.Pole,jiandae kwa kibano na kipigo juu.
  11. tamaudj

    JamiiForums Tanzania Nape Aangukia Pua Bungeni

    aisee mleta mada unatisha,mbona haueleweki?
  12. tamaudj

    JamiiForums Tanzania Sikukuu ya Wafanyakazi LIVE Bunge Turn off

    Namsahauri Nape awambie tbc warekodi then watuoneshe usiku wa manane.
  13. tamaudj

    JamiiForums Tanzania Kwa Bunge Kutokuwa Live, nani anastahili Kulalamikiwa?

    poa tu
  14. tamaudj

    JamiiForums Tanzania Kwa Bunge Kutokuwa Live, nani anastahili Kulalamikiwa?

    mod hata ukipiga ban poa,na wewe ni walewale tu
Back
Top Bottom