Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Taifa Mhe.Edward Ngoyai Lowassa akiwa ameongozana na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Mhe.Kalist Lazaro na Bob Lowassa,wamemtembelea Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe.Godbless Lema aliyeko Gereza Kuu Arusha (Kisongo).