Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Anaandika Afande Sele
Kusema kweli hili suala la kamanda Lema linamuumiza kila mwanadamu mwenye roho ya nyama nje ya tofauti za kiitikadi kupitia vyama vya siasa hasa kwa watu kama mimi ambao pamoja na kuwa nina familia kama Kaka Lema lakini pia najua mateso ya JELA zetu ambazo kiukweli hazitoi tofauti kubwa ya kivitendo kwa wafungwa na mahabusu hata kama ni kinyume cha utaratibu,sheria na haki za binadamu...basi kwa hitimisho la maumivu yetu juu ya mateso ya kamanda Lema na itoshe kukariri maneno ya wahenga kwamba"DUDU Liumalo usilinyooshee Kidole"Pole sana Kamanda...GOD bless LEMA!...