Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

Saidy Januzaj

Member
Apr 13, 2014
69
10
Kwa ndugu zangu waliochaguliwa kidato cha Tano, usihangaike kujua nini kinahitajika shule uliyopangiwa, it's just a simple thing, fungua hiyo link hapo chini.

***Best Wishes Brothers & Sisters**​

ARUSHA
DAR ES SALAAM
IRINGA
KATAVI
KIGOMA
KILIMANJARO
LINDI
MANYARA
MARA
MBEYA
MOROGORO
MTWARA
RUVUMA
SHINYANGA
SIMIYU
TABORA
TANGA
 
Kama heading inavyojieleza nahitaji kujua joining instruction ya nsumba kwani kuna mdogo wangu mmoja amechaguliwa but tumeshindwa kujua maana mpaka tovuti ya tamisemi tumecheck wameweka mikoa mingine
Ingia kwenye account yangu utaikuta...search "Saidy Januzaj" ukishaniona fungua, kuna link nimeiweka mule shule zote zipo
 
halafu kama vile wamechanganya maana shule ya MKUU SEC ipo Kilimanjaro lakini kule wameiweka mkoa wa tanga.
 
Kwa ndugu zangu waliochaguliwa kidato cha Tano, usihangaike kujua nini kinahitajika shule uliyopangiwa, it's just a simple thing, fungua hiyo link hapo chini, then ingia kwenye "joining instructions" halafu utachagua mkoa ilipo hiyo shule then utafungua shule unayoitaka.
Link ni hii hapa
President's Office Regional Administration and Local Government | Tanzania
***Best Wishes Brothers & Sisters**
Hivi vitu vya serikali bana, kuna mikoa kadhaa tu haipo hapo, na naamini bado hawajagundua
hata hivyo asante
 
ilikuwa ya kujiunga kidato cha tano 2015 lakini hata mwaka huu yaweza badilika kidogo
 

Attachments

  • 1467038158932.jpg
    1467038158932.jpg
    48.3 KB · Views: 908
  • 1467038214673.jpg
    1467038214673.jpg
    45.7 KB · Views: 826
Jaman msaada joining instructions ya nyantakar sec ipo biharamulo Kagera my WhatsApp no. 0752944277
 
Back
Top Bottom