masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,173
- 13,776
Matamshi ya jana ya Umoja wa Nchi za Ulaya hayakubaliki.
EU na washirika wao Wamarekani wana historia ya kuvuruga nchi za dunia ya tatu na kuendeleza machafuko nchi hizo.
Leo wameivuruga Iraq, Lybia na sasa Syria.
Haya matamshi wanayotoa mimi naita ya kijinga juu ya Zanzibaar, ni lazima yajibiwe.
Tukiendelea kuwachekea chekea tutaishia kama nchi walizokwisha kuziangamiza.
===================================================
Waangalizi hao wameleta mapendekezo ya kuwepo kwa uwazi zaidi kwenye kufanya maamuzi, kuwepo kwa haki ya mgombea binafsi, matokeo ya urais yaweze kupingwa mahakamani na kupitia upya sheria ya mtandao ya mwaka 2015
wamedai ZEC hawakuwa sahihi kuufuta uchaguzi huo kwa kuwa hawakuwakilisha ushahidi wa sababu za kufuta uchaguzi huo
Lakini hatujaona umahiri wa EU kusahihisha makosa yao huko Libya, Syria na Iraq ambako wamehusika sana kuvuruga misingi ya amani iliyokuepo nchi hizo kwa miongo.