Komeka mchezo wa mtaani hauna sheria labda jaribu fatilia maisha ya hawa watu wawil utaelewa kwa nn nakuambia t.i kwa mtaani sio mtu mzuri floyd hamuwez asilimia mia.. Unafikil why 50 cent kamwambia mayweather aachane na bifu na T.I coz sio mtu mzuri..!!? Kama unamaanisha ulingon sawa lakin...
Bro sio rumors ni kwel kabisa hata police aliekua anafanya investgatn ya ile kesi baada ya kustaafu alisema alitaka kuongea ukwel lakin viongoz wake wa juu walimkataza kwa kuhofia vurugu na mauaji zaid na pia anadai kuna watu walikula rushwa ndefu sana ku cover story
Suge night ni mshenz wa tabia bro kama umefatilia ripoti ya LAPD na ile ya mke wake wa zamani suge ndo alipanga mchongo mzima wa kumuua pac na alipokua jela alimtuma mke wake akampe hela mtu kwa ajil ya kumuua big... Mke wake hakujua hela ya nn mpaka pale alipomuona yule jamaa kakamatwa kwa...
Fuatilia story ya maisha ya T.I ndo utajua huyu jamaa sio mtu wa kuchezeana nae kabisa mayweather outside the ring hamgusi ti... Kwa rekodi haraka haraka tuu 2009 TI alikamatwa na polisi na kukutwa na bunduki aina za shotgun 100 kwenye gari yake... Akatupwa jela.. Alipotoka tuu akakuta best...
Kuna shule za sekondari za binafsi zinatangaza kudahili wanafunzi wa kidato cha tano hata wakiwa na d3 au c2 na d1 au d5 wanadai eti wameruhusiwa na wizara ya elimu.. Kama kuna mtaalam toka wizarani hapa jamvin atujuze hli maana tusijeibiwa pesa zetu
Kuna shule za sekondari za binafsi zinatangaza kudahili wanafunzi wa kidato cha tano hata wakiwa na d3 au c2 na d1 au d5 wanadai eti wameruhusiwa na wizara ya elimu.. Kama kuna mtaalam toka wizarani hapa jamvin atujuze hli maana tusijeibiwa pesa zetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.