utaunganisya vp wakat dudu ishasinyaa?
Unatumia ndom au unatembelea ringi?
Kama unatembelea ringi usitoe unganisha juu kwa juu hadi la pili.
Unaweka inaumukia humo humo,zile ngozi zikigusana tu kitaamka tu.
Mkuu hilo si tatizo but ni dalili ya tatizo tena si ajabu unapomaliza la kwanza unahisi usingizi kabixa au hata kulala hili ni kawaida kwa wanaume wengi kwani sperm huwa zinazalishwa hivyo uume usinyaa kusubiri sperm kujaa tena kwenye mayai na energy inayotumika ni nyingi mno kiasi cha kusababish usingizi mzito ila haitakiwi ichukue mda mrefu hivyo kwa kawaida ni dakk 5 hadi 15 tu...!!nakushauri utumie sana vyakula vya asili matunda mengi zaidi na mboga mboga za kijani pia kama unataka kudo usiku kwa mfano ni vyema ufanye maandalizi mapema kuanzia asubuh yani hakikisha maji unakunywa ya kutosha at list litre 2 na nusu na kuendelea chakula cha kutosha ule ushibe afu weka mawazo yako kwenye tendo pia mwandae mwenzio hakikisha we ni msafi na mwenzio pia msafi harufu mbaya mda mwingine husafabisha hamu kupotea...!ni hayo tu mkuu...!!
Tumia valuer au konyagi kaka, unachukua hata one hr, piga supu ya mkia wa ngombe
Hizi ligi tunaziweza wachache shekhe.
kwl itakuwa punyeto huyu
utakuwa limbukeni wa punyeto wewe
napinga kwa nguvu zote ..punyeto haiathiri nguvu za kiume, bali inaimarisha misuri ya uume!
Majibu ya hapa yatanifaa sana kwa aibu niliyopata leo.
Kula like mkuu kila siku nasema punyeto haina madhara ila watu wabishi.
Njia nzuri ya kujifunza kuacha kupiga mihuri ni nyeto.mnaosema nyeto inamadhara kwa kufanya uwahi
waongo na uenda hamjawahi shiriki nyeto
mi napga nyeto mwaka wa 11 sasa
lakn dudu inapiga kazi kiasi ambacho dem wangu ananiambia baby nimechoka
mzunguko wa kwanza tu..inakuwa patashika kunasuka
Njia nzuri ya kujifunza kuacha kupiga mihuri ni nyeto.
Kawaone madaktati wa tiba mbadala yawezekana unatatizo katika mwili wako