Kitendo cha Juma Nature kumkejeli na kumdhihaki Diamond ni ishara ya wivu

Dada mond ni msanii chpukizi aliekuaga chn ya nature then wakaznguana..
Kama unadhan katukanwa diamond,au unaongea kwa hisia poleeeee..
 
Ila watu wagumu kuelewa bwana,au mleta uzi umeamua kutengeneza bifu ya kulazimisha ili upate coments za kutosha? dada Mond ni sawa na diamond? kuwa na akili,kwani unawajua wasanii wote ww? kwa taarifa yako hamzungumzi huzo mtu,hata mie namkubali sn ngololo but jina lake c dada mond ni diamond.

So kupaza sauti kama hiv sio.
 
Wapende wasipende Dimond yupo juu kwa sasa walisema dimond freemason yakapita,wakasema kenda kwa mganga yamepita,mara muuza unga yamepita na madogo kila siku wanamuimba lakini wapi yupo pale pale nature naye anatafuta namna ya kutoka .
 
Back
Top Bottom