Recent content by TAJIRI WA MADINI

  1. T

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Bia mpya

    anatafuta kiki... Moderator mulika mwizi
  2. T

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Bia mpya

    mkuu kama uko serious kwanini usiombe wadau wakusaidie kutafuta majina kwa ajili ya kilevi chako? mfano Kaskazini extra lager Tamtam ice.. Kionjo beer
  3. T

    JamiiForums Tanzania Majambazi ya Stakishari yapigwa Risasi Kigamboni

    Majambazi wa stakishari ndio habari gani? Ina maana hapa Dar wapo majambazi hao tu wewe? Hakuna wa kuweza kuthibitisha hilo, hao watu waliopigwa risasi wanaweza kuwa ni vibaka tu hakuna mwenye uthibitisho. Waliofanya uhalifu stakishari hawajatambuliwa wala hawakuacha vitambulisho. NB: HABARI...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Habari za asubuhi wadau? Poleni kwa pilika pilika za hapa na pale.. Naombeni ushauri wenu, mimi wakati nachagua masomo ya kusomea degree ya kwanza, sikupata fursa ya kuchaguliwa katika course ya land management and valuation pale Ardhi, sasa nataka niisome kama Postgraduate kabla ya masters...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kibwana Dachi tuombe radhi Wakatoliki

    na ile kofia ya papa yenye maandishi ya 666 huwa ina maana ipi? Hebu kuwa macho kabla hujamchoma mwenzio..
  6. T

    JamiiForums Tanzania Habari kwamba Makonda ameita wahitimu wa vyuo wasio na kazi waende kwake ni kweli?

    kumbe ndiyo maana mkenya mmoja ni sawa watanzania wanne katika productivity!! Dah! Serikali imetumia gharama kubwa sana ikidhani inazalisha Mchele, kumbe zinatoka Pumba tu!
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tunatoa mafunzo ya udereva

    Proffessional driving courses offered. Chuo kipo Mabibo, kina link na chuo cha taifa cha usafirishaji, hivyo ukimaliza mafunzo utakuwa regarded kama proffessional kutoka NIT. MABIBO GETWELL DRIVING SCHOOL, Inakukaribisha katika mafunzo ili uwe competitive kwenye soko la ajira. Kwa mawasiliano...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akifungua Hoteli Mpya ya Kitalii ya Bilila Lodge Kempinski

    kama kuna mdau yeyote anafanya kazi kwenye hii hoteli naomba tutafutane tafadhali..
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nahitimu masomo yangu mwezi ujao... Ndoto yangu ni hii...

    Wakuu, bila shaka mko salama! Poleni sana kwa majukumu ya hapa na pale katika ujenzi wa familia na taifa kwa ujumla! Well, mimi ni kijana wa elimu ya juu, nategemea kuhitimu masomo yangu ya chuo kikuu mwezi ujao katika field ya logistics and transportation technology. Ndoto zangu ni kuja kuwa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ushoga hapana Tanzania: Let's say #NoToLoveWins

    SI USEME TU NI LOWASSA..! unaogopa nini??
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa graduates wanaofikiria kwenda JKT

    na kikwete mwenye degree moja anayeamrisha wenye degree nne ni udhalilishaji pia? SHAME ON YOU ST.UPID
  12. T

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Watu 9 wakamatwa Msikitini wakiwa na vifaa vya mlipuko

    Na uwe wa kwanza kufa ili usiamini kabisa! Shame on you..
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu mtamu jamani, acheni tu...

    kwani mke wa Pinda anagegedwa na nani nje
  14. T

    JamiiForums Tanzania Wassira awasimamisha kazi Wakurugenzi kwa Ubadhilifu wa Mabilioni

    mh. wassira anafaa kuwa rais wa nchi hii 2015
Back
Top Bottom