Majambazi ya Stakishari yapigwa Risasi Kigamboni

Majambazi ya Stakishari yapigwa Risasi Kigamboni

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,820
Reaction score
29,495
Habari wapendwa. Niko Kigamboni sehemu inaitwa Tuangoma karibu na Kongowe. Muda wa dakika kumi majambazi wale wa Stakishari wamepigwa risasi, wamekufa wawili mmoja kakamatwa yuko polisi.

Chanzo: Aliyepo eneo la tukio.
 
Hebu tusubiri habari kwa kina zaidi..
 
Majambazi wa stakishari ndio habari gani? Ina maana hapa Dar wapo majambazi hao tu wewe?

Hakuna wa kuweza kuthibitisha hilo, hao watu waliopigwa risasi wanaweza kuwa ni vibaka tu hakuna mwenye uthibitisho.

Waliofanya uhalifu stakishari hawajatambuliwa wala hawakuacha vitambulisho.

NB: HABARI YAKO UNGEITOA TU KWAMBA WATU WANAODHANIWA KUWA NI MAJAMBAZI WAMEPIGWA RISASI, NA SI MAJAMBAZI WA SITAKISHARI.
LA SIVYO TUTAKUHUSISHA NA HUO UJAMBAZI NA HUYO MTU ALIYEKUPA TAARIFA ILI MTUSAIDIE KUWAKAMATA WAHUSIKA....
 
Bunduki walizoiba zimekamatwa? Si kupiga risasi vibaka wakati magaidi yanapeta. Mimi nashangaa hivi baada ya uvamizi polisi si wangefunga njia zote zinazotoka eneo la tukio kuwasaka hao magaidi au majambazi?
 
Habari wapendwa. Niko kigamboni sehemu inaitwa toangoma karibu na kongowe. Muda wa dk kumi majambazi wale wastaki shari wamepigwa risasi wamekufa wawili mmoja kakamatwa yuko polisi.


Chanzo : Aliyepo eneo la tukio.

wamepelekwa kituo gani chani police?
 
Upelelezi mkuu siku hizi umekua ki technology yule mwenzao waluommiminia risasi baada ya pikipiki yake kugoma kuwaka ni mwanzo mzuri sana wa upelelezi.

Huyo alikuwa amekodishwa tu ndio maana alichanganyikiwa akashindwa kuwasha ile pikipiki.
 
Back
Top Bottom