Recent content by Tairus

  1. Tairus

    JamiiForums Tanzania Nikupigie goti kwani nakuomba nini

    HOW?
  2. Tairus

    JamiiForums Tanzania Nikupigie goti kwani nakuomba nini

    "Kwahiyo hujui"...NAJUA. "basi anahaki ya kukuuliza"..HILI NAJUA PIA. Wewe ungemjibuje?????
  3. Tairus

    JamiiForums Tanzania Nikupigie goti kwani nakuomba nini

    Ungekuwa wewe ungempa jibu gani?
  4. Tairus

    JamiiForums Tanzania Nikupigie goti kwani nakuomba nini

    Kwema wakuu. Mke wangu mtarajiwa nimemwambia siku nakuvisha pete ya uchumba utapiga goti, kanijibu nikupigie goti kwani nakuomba nini? Hii imekaaje! Noamba kuwakilisha.
  5. Tairus

    JamiiForums Tanzania Nachukua funguo yangu

    Forward ya nn
  6. Tairus

    JamiiForums Tanzania Nachukua funguo yangu

    Unapopewa Lifti alafu unataka kupiga honi tukueleweje..
  7. Tairus

    JamiiForums Tanzania Nachukua funguo yangu

    Ni ndugu yangu kabisa mdogo wake mama kapata kazi sasa yuko kwenye training akaniomba kukaa na mm kwa muda.. Jana kamleta demu wake na wamefanya uzinzi kitandani kwangu. Nilimkataza Nimemwambia anipe funguo nikiingia anaingia na nikitoka anatoka[emoji23]
  8. Tairus

    JamiiForums Tanzania Namba D michosho sana

    Ukimwambia tuachane utasikia ooh..Nirudishie muda wangu ulioupoteza[emoji23][emoji23] Ntarudi.. Uzi bado unaweza kuongeza sifa zao nyingine.
  9. Tairus

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kwenye pete?

    Naombeni msaada. Nilinunua Pete moja kwa mmasai sasa niliivaa siku moja nilianza kuota ndoto za ajabu na siku iliyofata nilikutana na aliyekuwa x wangu kitu ambacho sikitegemea. Je, kuna nguvu gani na nawezaje kujua aina ya Pete ninayotakiwa kuvaa isinisumbue?
  10. Tairus

    JamiiForums Tanzania Kijana wenu ninaaibika kwa pisi kali, naombeni ushauri

    Malaika ikishuka mbinguni akasema hatuna dhambi..Kamse....
  11. Tairus

    JamiiForums Tanzania Nimempa ujauzito mke wa mtu

    You are dead mof...
  12. Tairus

    JamiiForums Tanzania Nini kinakufanya usiisahau siku ya harusi yako?

    Hahahahaaa
  13. Tairus

    JamiiForums Tanzania Wewe Mr., kwanini hunitunzi?

    Dah
  14. Tairus

    JamiiForums Tanzania Destiny Manifesto; dhihirisho kuwa tunaishi maisha yenye ukomo

    Una ushahidi gani mkuu..Naona kama mtu yoyote anaweza kuwaza kama wew na akapuuzia
  15. Tairus

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nataka kuachana na Mwanamke ninayeishi naye

    Ni single mother..Au sijakusoma mkuu.
Back
Top Bottom