Tairus
JF-Expert Member
- Mar 13, 2013
- 680
- 1,068
Naombeni msaada. Nilinunua Pete moja kwa mmasai sasa niliivaa siku moja nilianza kuota ndoto za ajabu na siku iliyofata nilikutana na aliyekuwa x wangu kitu ambacho sikitegemea.
Je, kuna nguvu gani na nawezaje kujua aina ya Pete ninayotakiwa kuvaa isinisumbue?
Je, kuna nguvu gani na nawezaje kujua aina ya Pete ninayotakiwa kuvaa isinisumbue?