Mkuuu achana na habari za kuvishana pete .Wakati ule mchimba alitaka nimvishe pete nikamuambia wazi kabisa mimi sio mzungu.Kama unataka ahadi katika mila zetu ni KISHIKA UCHUMBA,naye akakataa.Nilitoa mahali tukafunga ndoa sasa ni mwaka wa 20 na watoto kadhaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.