Recent content by Taifaletu

  1. Taifaletu

    Stephen J.J. Owawa: Naomba kujibu baadhi ya hoja zilizotolewa juu yangu hapa JF

    Owawa mimi niliweka post kuomba CV yako baada ya safari yetu ya utafiti kuhusu Afya katika mkoa wa mara,timu yetu ya watu wanne tulikuwa Rorya,Bado mna kazi kubwa sana,hali ya Afya ni mbaya sana kwa walio wengi.Jitahidi sana ufike na kushirikiana na ndugu zako kutatua changamoto za wilaya ya...
  2. Taifaletu

    Stephen Owawa ajipanga kugombea ubunge Rorya 2015

    Wana JF juzi nilikuwa kwenye utafiti mkoani Mara nilikuwa nimepangiwa wilaya ya Rorya,Wakati tukiwa kazini nilisikia wananchi wakisema kuwa Mbunge wao yuko likizo ndio maana hasikiki Bungeni,Mbunge wa Rorya kwa sasa ni Lameck Airo,katika pita pita zetu niliwauliza wanajiandaaje kwa uchaguzi wa...
  3. Taifaletu

    Takukuru kaa mkao wa kula

    OFisi ya CAG ni moja ofisi za kuigwa hapa Tanzania
  4. Taifaletu

    Zitto Kabwe na 'Saini za Wabunge 70' za kumg'oa Pinda - Tafsiri yangu

    Mjengwa CCM ni zaidi ya Ukimwi,hawaelewi chakufanya na badala yake wote wako njia panda,Tusubiri tuone
  5. Taifaletu

    Uchunguzi wangu binafsi kuhusu madai ya Tuntemeke & Co

    Je,ni CHADEMA ndio ilimpa Mke wa Dr.Slaa kazi ya kutafuta accounting package au CHADEMA? kuna mgongano wa kimasalahi katika hilo pamoja na propaganda zote lakini kumpa mke wa Dr.Slaa bado inazua maswali mengi katika maadili na usimamizi.Kuhusu Tumbo na Mwigamba lazima tukubali palipo na upungufu...
  6. Taifaletu

    DR. Jakaya Kikwete: Mnyonge Mnyongeni!

    Unaelewea maana na mapana ya unayoongea?
  7. Taifaletu

    Vicent amlipua Tendwa, Mkapa aomba suluhu

    Kwa hiyo yote aliyosema Mkapa ni utani? Kweli Unahitaji kuwa kichaa kuwa au kutetea CCM,wanaarumeru mashariki mpoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo,hiyo ndiyo CCM ya Mkapa na Kikwete ya kutetea ardhi!!
  8. Taifaletu

    Huu ni baadhi tu ya ufisadi mkubwa ndani ya CHADEMA; ni kuhusu mamilioni ya Sabodo

    kumbe unajadili watu na kukubaliana na mfumo kuwa ni safi,kama mfumo wa chama ungekuwa na kasoro na matokeo yake ndio kupata watu wabovu ungekuwa na hoja,acha kuwaza fikiri
  9. Taifaletu

    KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

    Ninachojua ni kuwa alidisco mwaka wa pili na siyo kufukuzwa ila ana uwezo mkubwa kuliko wenye vyeti vya PhD
  10. Taifaletu

    Sasa Lowassa hakamatiki: Waraka kwa Jakaya Kikwete!

    Nukuu ya maneno haya unajua maana ya upana na tafsiri yake? Poleni kwa kazi ya kuahalalisha maovu kwa ulaghai wa maneno ya Mwl. Makosa yetu mengine hutokana na woga; woga unaotuzuia kumlaumu mkubwa japo tunajua kuwa kakosa, au kumtetea mdogo anayelaumiwa na wakubwa japo tunajua kuwa hana...
  11. Taifaletu

    Ubunge East Afrika: James Milya anatufaa!!

    Na huyu mke mdogo wa Lowassa anaegombea!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  12. Taifaletu

    Lowassa nyuma ya mgomo wa madaktari

    Ata kama atajwe nani kuwa nyuma ya mgomo,swala kuu ni hoja yao ina mashiko au la?
  13. Taifaletu

    Makala ya Mwigamba irudiwe na Magazeti yaliyo huru kweli kweli!

    Labda Tumpe Ansber Ngurumo au Mwalimu Mkuu wa Watu awe mhariri,walio wengi ni hawako huru
  14. Taifaletu

    Arusha: Mgomo wa daladala na pikipiki

    Tukiamua kuandika historia kwa damu na kuchoka kutumia kalamu tunaweza kufanikiwa
  15. Taifaletu

    Kada wa CHADEMA akutwa amefariki Igunga!

    Mungu ailaze Roho ya marehemu mahala pema pemoni,AMEN.
Back
Top Bottom