Recent content by Tabalo

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru kupigwa mnada nyumba ya mjane ili kumfidia aliyeumia mguu kwa ajali ya bodaboda

    Story haijabalance kabisa Natamani tupate upande wa abiria pia aeleze tukio pia hapo tunaweza kuelewa vizuri kuliko kulaumu maamuzi ya mahakama.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Taifa la Burundi

    Rate za burundi faranga (fbu) na tanzania shilingi (tzs) 1tzs=3bfu 10000tzs=30000fbu 10000fbu=3300tzs Hizi rate ni tarehe 26/1/2025 Boda ya kabanga -kobelo
  3. T

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Yahya upo mbioni kutimia?

    Acha kupotosga ,hakusema mwisho wa dunia.alisema kuna yukio litatokea siku hyo ambayo alikufa
  4. T

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Yahya upo mbioni kutimia?

    Sheikh yahaya alisema hili. Content nyingi za sheikh yahaya zimepotea na kufichwa kwa makusudi. Mengi aliyoyatabiri yametokea.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Wadau mliopo majuu mtusaidie tulioko huku kutuvuta kuja huko

    Naomba mawasiiano yako kiongozi
  6. T

    JamiiForums Tanzania Hili suala la wanafunzi kubaki shule lina umuhimu mkubwa kwa maisha ya baadaye ya mtoto wako

    Nakumbusha pia ▫Tukianza na 1. Masomo ya Sayansi ✅PCB, na PCM 👉wakiume tutachukua kuazia daraja la I point ya 7 -15 👉 wakike daraja la I point ya 7-17 ✅CBG na PGM 👉Wakiume tutachukua mpaka daraja la II point ya 21 👉Wakike mpaka daraja III ya...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Gharama kiasi gani kulisha kuku 500 wa nyama kwa Dar es Salaam mpaka kuuza?

    Kwa mfugaji kuku wanaokufa hawazidi 10 mkuu...ukipata mzoefu mzuri hawawezi kufa kuku zaidi ya hao. Tena hata 5 wanaweza wasivuke
  8. T

    JamiiForums Tanzania Gharama kiasi gani kulisha kuku 500 wa nyama kwa Dar es Salaam mpaka kuuza?

    Uko vizuri mkuu..umetisha
  9. T

    JamiiForums Tanzania Gharama kiasi gani kulisha kuku 500 wa nyama kwa Dar es Salaam mpaka kuuza?

    Rudia hesabu vizuri mkuu.matumizi hayazidi 2500000 hayo
  10. T

    JamiiForums Tanzania IT, ICT, CS students wanaokimbia chuo ili kuwa mabillgates hapa Tanzania hawawi hivyo hata kwa mtaa tu, kwanini?

    Kati ya washkaji sita walioacha chuo,watano Wana make more than 5 milion kwa mwezi ,last time I check wanaendelea vizuri nanplan zao zimekaa poa..tuliomaliza tupo kazini kilio Cha maslah
  11. T

    JamiiForums Tanzania Wale wanaopiga pesa online Tanzania, vipi mnatumia platform gani kupokea pesa?

    Inategemea nab Inategemea na platform mkuu..but yes nyingi zinakzingua
  12. T

    JamiiForums Tanzania Wale wanaopiga pesa online Tanzania, vipi mnatumia platform gani kupokea pesa?

    Kutumia Haina shida mkuu..kupokea ndo ilikuwa changamoto
  13. T

    JamiiForums Tanzania Wale wanaopiga pesa online Tanzania, vipi mnatumia platform gani kupokea pesa?

    Western union, ni easy maana unapokea cash bila Makati,PayPal iko poa though inamzunguko kidogo..wire transfer iko vizuri though inachelewa maana pesa hufika kuanzia baada ya 2 days au zaidi
Back
Top Bottom