Recent content by Taamuli

  1. Taamuli

    JamiiForums Tanzania Nina uraibu wa wanawake age go

    Wake za watu ni Sumu,Acha Umalaya
  2. Taamuli

    JamiiForums Tanzania MACHIMBONI: Sitosahau nilivyonusurika kufa

    Naam Mkuu Wataalamu lazima waheshimiwe ha ha ha
  3. Taamuli

    JamiiForums Tanzania Niliyojifunza baada ya kupoteza kazi

    Ha ha ha
  4. Taamuli

    JamiiForums Tanzania Ukiona kijana tajiri ujue ni mwizi, aliachiwa pesa na baba yake au beti

    Una Kila dalili za kuwa Mwizi
  5. Taamuli

    JamiiForums Tanzania Aina za watu Maofisini

    Ongeza hapo kipengele Cha watu wanaochunguza tabia na maisha watu maofisini kama wewe.
  6. Taamuli

    JamiiForums Tanzania Tanzania tujiepushe kuwa kinyume na Israel kila wakati

    Kwa hiyo Kila vita wanayopigana Waisrael ina Mkono wa Mungu.Nasi si Utashi wa watu?
  7. Taamuli

    JamiiForums Tanzania Tendo la Ndoa lifanyike mara ngapi kwa wiki kwa wanandoa/wapenzi?

    Mkuu utelezi Muhimu
  8. Taamuli

    JamiiForums Tanzania Watanzania lazima Tufahamu Rais wa nchi siyo Sawa na Rais Wa Bendi ya Mziki kiulinzi na Kiusalama

    Umenikumbusha Gazeti la Mzalendo .Jifunze kusummarized Chief.
  9. Taamuli

    JamiiForums Tanzania Kwa hapa Tanzania, Wachina hununua gramu1 ya Gallstone (Nyongo) Tsh. 8000 mpaka 10000

    Ha ha ha ha..jamaa bhana..Umenena vyema Mkuu!na Kama kuna bidhaa vingine wanahitaji tushirikishane tupambane pamoja wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Taamuli

    JamiiForums Tanzania Niliyojifunza baada ya kupoteza kazi

    Ha ha ha ha Pisi kali hizi hizi tunazozijua au Umejunyakulia jina tu Mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Taamuli

    JamiiForums Tanzania Wake za watu wanaongoza kwa kufanya ngono ovyo kuliko wanawake masingle

    Tunaomba ukiolewa uteletee mrejesho ya tabia yako juu ya kugegedwa ..katika kila jambo au tukio kuna sababu je umefanya utafiti wa kwanini wanawake walioolewa wanagegendwa kama unasema!?
  12. Taamuli

    JamiiForums Tanzania Tumia hekima na busara kwenye makosa ya wenzio

    Ni vyema hekima na busara hiyo hiyo ikatumika kwa Wanawake dhiti ya makosa ya wanaume...
  13. Taamuli

    JamiiForums Tanzania Waziri Mpango: Rais Magufuli amenipigia simu kuhusu michango ya Bashe na Nape Bungeni

    Kwani wawekezaji wa Nchi hii wanaletwa na raisi tu!?
  14. Taamuli

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe is ready to bring in the House statistics showing that Magufuli is biased towards certain appointments

    "Toa kwanza boriti lililomo jichoni mwako kabla ya kuangalia la mwenzako".. Cdm katika wameyumba ....
Back
Top Bottom