MACHIMBONI: Sitosahau nilivyonusurika kufa

MACHIMBONI: Sitosahau nilivyonusurika kufa

Yap jamaa ame summary vizuri sana.

Sio kama za wale jamaa wa itaendelea.....
Mtu anaweka unnecessary things ilimradi iwe na itaendelea
Mkuu hili siwezi lishau kamwe... Na ni funzo kubwa sana Hadi Sasa siwezi muamini mtu kwenye kutafta Mali na pia Hilo lilinifanya niamin kumbe Kuna kafala wazi wazi .....
 
Mkuu duara Zina tofautiana Moja Hadi nyingine Kuna sehem kabisa ya kama ka chumba fln kadogo ni ngumu kuelewa kama hujaingia duarani hako ndo Huwa Wana kaa Wakati gunia linashuka na Huwa linakuja likigonga side Hadi side Kwa kasi so mara nyingi hukaa hivo. But Kuna wengine wabishi tu anakaa pembeni kidogo na ndicho kilichotokea Kwa jamaa huenda tu ilikuwa hivo Ili nipone ..kumbuka unaposhuka huendi direct unaenda unajipigiza kwenye Kuta za shimo (kugologosha) ni ngumu kuelezea mtu asiyewahi kushuka humu ila Kwa taswira ndo hivo
Sema nao jamaa walikuwa na maksudi tuu ... unamwachaje mgeni apande wakati kiroba hakijafika juu ... alitakiwa akae station..(fonka).

Those days....mwabomba,Nyakasaluma,Mwime,Nyangalata, Bukandwe,Nyakafuru,Nyakahula...
 
Hahahah mkuu nimecheka sana, mimi nilikuwa hapo namba 2 na namba 9 nakuja kupata msosi jioni, duara letu hilo.
IMG_20190828_112759.jpg
 
Back
Top Bottom