Recent content by T/UDOM/2009/14583

  1. T

    Swali la Ugomvi: Hivi Walimu wanafaidika vipi na vitega uchumi vya CWT

    Hakuna chochote cha maana ndani ya CWT mtu wangu, walimu wenyewe wapo kama mazombi.
  2. T

    Naomba msaada kuhusu biashara ya kuuza na Kubadilisha gesi

    Na mimi nina mpango huo hapa Moshi Mjini, nakuomba unipe mchanganuo!
  3. T

    NMB Idara ya mikopo Rushwa imekithiri

    Hata mimi nilizungushwa sana NMB-NELSON MANDELA MOSHI hadi basi kumbe jamaa anataka chake kwanza! Kwa mil 6 alitaka 200,000, akaishia 150,000,hapo aligoma kabisa kushuka! Nikakubali kitu kikatoka kimechomolewa 150,000. UJAMAA na KUJITEGEMEA.
  4. T

    Naomba kujua kuhusu Mkoa wa Kilimanjaro

    Ukifika mazingira yatakwambia ufanye nini na sisi wenyeji tupo tutakushauri ufanye nini hapa mjini!
  5. T

    Natafuta tenda.

    NINA STATIONARY HAPA MOSHI MJINI ENEO LA MBUYUNI,NINAOMBA TENDA YA KUCHAPISHA MITIHANI NA NAKALA MBALIMBALI ZA SHULE AU OFISI YOYOTE ILE. Mawasaliano:aloyce_emmanuel@yahoo.com 0764506775
  6. T

    Natafuta Tenda

    Nina stationary Moshi mjini eneo la Mbuyuni, ninaomba Tenda ya kuchapisha mitihani au nakala mbalimbali za shule au ofisi yeyote ile. Mawasiliano:aloyce_emmanuel@yahoo.com 0764506775.
  7. T

    Mnazionaje huduma za Azam tv?

    Bei gani hivyo ving'amuzi vinauzwa?
  8. T

    Msaada kuhusu immigration.

    Naomba mwenye uelewa anijuze,napenda kufanya kazi immigration sijajua wapi nianzie ili niweze kutuma maombi.
  9. T

    Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

    Check kwenye email yako lushinge160@gmail.com nimetuma mawasiliano yangu.
  10. T

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Poverty is not an accident,it is a man made and it can be removed by the actions of human being!
  11. T

    Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

    Nipe namba ya simu au email yako tuwasiliane.Yaliyokupata yanafanana na yaliyonipata,nimeteseka miaka 6 lkn kwa kudra za mwenyezi Mungu akanifungulia,nikikumbuka machozi yananitoka!
Back
Top Bottom