PAPAA JIWE
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 866
- 151
Kwa usafi sasa hivi inaongoza Iringa mjini then ya pili ndio Moshi.
Any way Moshi ni sehemu nzuri sana na mtu yoyote akifika pale anafunguka akili, kwa sababu atakutana na watu wengi wanaojua kutumia fursa na hivyo atafunguka kiukweli.
Moshi pako poa sana.

Moshi Ni Mji Mzuri na Safi kuliko yote Tanzania!