Recent content by T Total

  1. T Total

    Nisome nini ili niwe miongoni mwa "white hackers" hatari duniani kwenye suala la computer na mitandao kiujumla?

    Kufanya hivyo, ata kudhubutu kutamka hayo maneno inamaanisha kuwa wewe tayari ni programmer balaa, moto wa kuotea mbali. Kama sio utakuwa kwenye ndoto na utaamka baadaye. Kama ndivyo basi usipoteze mda wako kwenye kukosoa wengine bali tengeneza mtandao wako mwenyewe. Ukifanya hivyo...
  2. T Total

    Ipi ni biashara ya ndoto yako?

    Mkishamaliza kuota amkeni muanze vitendo jamani. Mtaota hadi lini?
  3. T Total

    Vijana msipoteze muda kwenye project zenu za kiteknolojia

    Vijana msikubali huyu jamaa awakatishe tamaa. Facebook, twitter, whatsapp, na ma milioni ya ma technologia yalikuja kuwatajirisha wenyewe hadi kuwa matajiri wa ulimwengu. Muhimu tu ni ujipange na side hustle ya kukupa hela ya kujikimu ili usiishi maisha ya omba omba.
  4. T Total

    Mwanadada una-date na mume wa mtu ukitegemea akuoe, hiyo haipo kabisa

    Not necessarily. Inawezekana mwanaume amefika mwisho wa mahusiano mabaya na ameamua ku move on na maisha yake na amekuchagua wewe kuwa mwenza kwenye safari yake mpya. Lucky you.
  5. T Total

    Hali ya kisiasa yazidi kuzorota, Uhuru Kenyatta awarudisha nyumbani mawaziri wote

    Inaweza kuwa anataka kuboresha mifumo ya uongozi na uwajibikaji. Ata wakitolewa nima bogus tupu. Nchi imeendelea kuliwa chini yao.
  6. T Total

    Mwendokasi yaua mtu Ardhi-Kivukoni, chanzo kuchat wakati akivuka barabara

    ...nimeshagundua hakuna atakaye toka akiwa hai humu duniani. Kuna wanao tutangulia lakini na sisi tuliobaki tunanyofolewa mmoja baada ya mwingine. Kulijua hili kunapaswa kuwafariji waliofiwa kwa kiasi kikubwa.
  7. T Total

    Wanajamvi maneno haya yana ukweli kiasi gani?

    Hebu jaribu kutengeneza hizo moments zako wakati anadaiwa kodi. Utajua hujui. Moments zitakuwa torments.
  8. T Total

    Mpenzi wako anapokubadilikia kiubaya unatakiwa ufanyeje?

    Inategemea ulichomfanyia mwenzio. Kuna vitendo uingia hadi kwenye mizizi ya mahusiano na kuvunja ule ukaribu wa wapenzi milele.
  9. T Total

    Nimeamini asilimia kubwa ya Wanawake wa leo wanajiuza tofauti yao ni mazingira tu ya upatikanaji wao

    Hivi mwanaume anaye kula malaya sio malaya pia? Kama ndivyo malaya mmoja anahaki gani kuuliza malaya mwingine kwanini yeye ni malaya? Nnavyo elewa malaya bila mwanaume awezi kuitwa malaya. Sasa wewe usione kama nimekutusi au kukudharau ila ni kwamba unaonekana kujifanya mtakatifu kumzidi huyo...
  10. T Total

    Nini siri ya 'Single Mothers' kujaza social platforms?

    Tatizo wanawake walio wengi hawajui siku zao za hatari na pia wanajihusisha na ngono zembe. Hawaogopi mimba wala magonjwa. Wanaume nao uwa wameshabadilika na kuwa fisi mla watu. Wanakumbuka kuna mimba na ukimwi baada ya tendo.
  11. T Total

    Mwanaume ukiachwa na mwanamke unayempenda sana na unataka kumuumiza fanya yafuatayo

    Sikubaliani na mpango wako. Mapenzi hayafiki mwisho ghafla ghafla. Huwa inachukua mda na mambo mengi madogo kwa makubwa. Kama mapenzi yamefika mwisho na mmeshindwa kuvumiliana basi yaache kwa amani. Shukuru Mungu kwa mda mliokuwa pamoja. Endelea na maisha yako, ruhusu mpenzi mwingine akutimizie...
  12. T Total

    Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

    "My people perish for lack of knowledge" Uwezo wako mkubwa ni kwenye forex. Ongeza knowledge kwenye hii, punguza kiasi cha risk hadi hapo utakuwa unapata ufaulu almost mfululizo. Kumbuka kwenye forex umeshamaliza kiwango kirefu kwenye learning curve. Take it easy and do not panic. Biashara zote...
  13. T Total

    Biashara ya tube za tairi za gari

    Unaanza biashara ambayo mda mfupi tu haitakuwepo tena. Matairi karibia yote duniani yatakuwa tubeless chini ya miaka mitano.Hayo ni makadirio yangu. Ungelifanya vizuri zaidi kwenye tubeless na sio tubes.
  14. T Total

    Msaada: Mtoto wangu ana tabia ya kupiga wageni na kusema 'toka kwetu'

    Tunashukuru na tumekuelewa kuwa hutaki wageni wakati wa msosi ila muogope Mungu uwache kusingizia mtoto. Kwani ni ka jini?
  15. T Total

    Watanzania mjiulize kwanini mnatengwa na dunia hata kwenye misiba, japo mnapenda kuililia Kenya

    Kila nchi duniani inamatatizo makubwa sana, ulimwengu huu hujawahi kuyaona kwa kizazi kilichopo. Sio rahisi watu wahudhurie maziko yeyote. Tumshukuru Mungu watanzania wengi na wageni kiasi walihudhuria. Hebu mkenya yeyote afe ata kama maarufu kiasi gani kama hatajizika mwenyewe.
Back
Top Bottom